PAULA amuita HARMONIZE 'Baba' waandikiana maneno matamu ya mtu na bintiye

preview_player
Показать описание
#Harmonize #Paula
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Chuna buzi,
Legends will understand.
Hii Combination ya mama na mwana nmeipenda

ibrahdedonny
Автор

mambo ni moto🔥🔥🔥🔥🔥🔥jama lokole huko Wapi😂😂😂😂😂

niyongendakosamuel
Автор

Hawa wako kwa biashara wafikiri wamepumbaa mama na wanawe wanafuta pesa mama akienda huku mtoto uwaenda na mtoto akienda huku mama uwaenda achunge jeshi hiki kikosi hatari 😂😂😂🔥🔥

assawq
Автор

Harmonize usipokaa sawa Hawa viumbe sio kabisa we neng'eneka 🤣🤣🤣

prospersanga
Автор

Konde Gang For Everybody Number One In Tanzaina Let's Goo Winin Team Konde Gang 🏆 💪 💯 ♥️ ! #Ljaystunner #LuckyHavana #LjayKitchens #NyamaChoma

ramaosman
Автор

Piga uyooo, huu mchezo Harmonize atakuja kuuelewa badae uko 😂

tumlakimwaitumule
Автор

Keshokutwa Range Akiulizwa atasema mauzo ya duka, LOL,

mikemutabuzi
Автор

Anahangaika huyo binti afu ray hana muda nae

issakinono
Автор

Lazma amuite baba coz amemfungulia duka😎

coolzeddy_official
Автор

Sasa kwa zile Songs anazotoa #harmonize na jins alivojirud kwanin wasimsamehe tu.

worldhappiness
Автор

Vitu za mitandao zinabaki so waeke akiba ya kesho juu hakuna mtu anakomolewa

johnsonkatana
Автор

Nadhani atakua amesha jifunza vitu vingi Sana asije kuja kidudu mtu tena akawatoa kwenye reli

FatimaFatima-wkjk
Автор

Mashallah Allah azidi kuwabadilisha na waheshimiane

ashurahatibu
Автор

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 bongo kubwa nyiee 😁😁😁😁😁, , nikiulizwa kilichonichekesha nn?, , 🤭🤣🤣🤣🤣🤣

messaabbas
Автор

Kwa izo nyimbo za Harmo..Paula hata hazimpendezi kufanyia challenge..najua uko alipo anatamani afanyie #uzuri challenge nyimbo ya Vannyboy sema tu ndo ivyo Tena😅😅😅😅

stevenchenga
Автор

Sahi mzee baba kondeboy ndio ata kula mzigo vizuri mjomba washataa

alibinali_
Автор

NJIA RAHISI YA KUMJUA ADUI YAKO ANAE KWAMISHA MAENDELEO YAKO NA KUA NA MAONO JUU YA MAISHA YAKO YOTE*#*#*#*#

tamarmwasimba
Автор

NJIA RAHISI YA KUMJUA ADUI YAKO ANAE KWAMISHA MAENDELEO YAKO NA KUA NA MAONO JUU YA MAISHA YAKO YOTE*#*#*#*#

tamarmwasimba