Platform - chuki (Official Lyrics video)

preview_player
Показать описание
Video was Shot & Directed by
@Gustavo
Cc @Abbah
🎵Produced by_ @aloneym1



Follow Platform On:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Me nimekujua leo so kuanzia leo nishabiki ako, , , unaweza blood

mwaksipeace
Автор

It's 2023, but the song still hit so sweet 😘😍kana slap😝

eymanhussein
Автор

🎶Stak kuamin kwamba mapenz ni upofu maana kwengne ntapendaaa...🎶 #Chuki 😚😚😚

shamsamohamed
Автор

Nimekwelewa xana hiii zaidi ya, baba lao, uno, sugua, umetxha kjana mwenzangu komaa japo mziki mgumu

razakpaulo
Автор

Chuki##mwamba platform, ,,kangonga nyayo

Back to back

specialdance
Автор

Umepita Mzee ...management tu iwe makini kumalizia safari ...Mjini tumekupokea!

pebayahaya
Автор

Mzigo huuu nimeulewa sana kazana best mdogo mdogo utafika

ukhutfatumah
Автор

Kwani huyu jama ana undugu na marioo uu ndo marioo mwenyewe....naona Kuna laza ya marioo

yussufmgonapasi
Автор

We ngoma noma💯🔥 kutoka Kenya, ndo mwanzo naona ii ngoma hatarii bamkubwa

brianmoturi
Автор

Chuki on fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 ngoma yangu ya mwaka

uwezodaniel
Автор

Nimekupenda bureeee plat tangu nimesikia song chuki kitu kimetulia ha tar I👏👏👏👏👏

rayahrajabu
Автор

Namsikia marioo humu vle kamautundu wa utunz Kali san jombaa

lazarodaniely
Автор

Brother continue with that spirit ... you know how to sing keep it up... Tanzania 🔥🔥🔥❣️

eastlule
Автор

🥰 jmni tam hii nyimbo mda ote ipo kwa maskioooo🤗

officialnairobi
Автор

Ngoma kali sana kaka utatisha in the future komaa kaka

sisqoify
Автор

its ur time to shine keep fighting ur position is still waiting for u

silverstones
Автор

Shabiki number moja, tokea Kenya.
My favorite jam.
Naomba collabo kaka

RadicalKenya
Автор

woooo ❤️❤️ is one of my favorite songs

fidausyhollenstein
Автор

ongera saana brot wewe ni mfanya kazi kabisaa yani ngoma yako inanyinya ishini kwetu Congo

mechackkabubiondekane
Автор

msanii hodari sana, nimekipenda kibao aisee🔥🔥

djmckenzie