Bien x Aaron Rimbui - Mbwe Mbwe (Official Music Video)

preview_player
Показать описание

Written by: Bien-Aime Alusa , Aaron H. Rimbui, Benson Mutua
Produced By: Bien & Aaron Rimbui
Mixed By: Bien, Aaron Rimbui & Victor Mbogo
Mastered by: Rob Burrell
Recorded By: Victor Mbogo, Trevor Magak
Assisted By: Paul Areri, Solomon Wati & Rick Kilonzo
Studio: Snowball Industries

Vocals and Instruments:
Bien-Aime Alusa - Lead Vocalist
Aaron H. Rimbui - Keys/Piano
Bass - Asaph Uzele
Guitars - Benjamin Kabaseke
Drums - Christian Kibamba
Background vocals: Okello Max

Director: Marc
DOP: Roadman
Production manager: Kefa Odindo
Production assistant: Ireri Murugi
Camera operator: Hypewily
Stylist: Brian babu / Chloe Turner
Makeup: Sinita Akello
Production Co-ordinator: Chloe Turner

Special Thanks:
Sauti Sol Entertainment
Sol Generation
Exodus Entertainment
Bien-Aime Alusa & Aaron H. Rimbui

MBWE MBWE Lyrics

Kunywa Maji Eh
Ukimaliza kunywa pombe
Peleka maisha pole pole
Raha jipe mwenyewe zitoke

Kunywa Maji Eh
Ukimaliza kunywa pombe
Peleka maisha pole pole
Raha jipe mwenyewe zitoke

Songa ugali Eh
Foundation weka ya samaki
Ni katikati ya January
Kula ukashirishe kamati

Twanga ugali Eh
Foundation weka ya samaki
Ni katikati ya January
Haribu jina jenga mwili

Ayoyo

Aroro
Fungua button ya shati imekukaba ko
Fungua pia mshipi achilia tumbo
Usiogope kukula jasho yako
Mamama

Aroro
Nikona size yako yangu 4 by 4
Kadogo mali safi better than before
Pesa sabuni na inaniosha roho
Oh oh oh

Hapa ni Mbwe Mbwe
Hapana leta shida hapa ni Mbwe Mbwe
Hapana leta vita hapa ni Mbwe Mbwe
Na ukileta ngori ngumi mbwegze
Hapa ni Mbwe Mbwe

Hapa ni Mbwe
Waiter mbili mbili hapa ni Mbwe Mbwe
Wawili Wawili hapa ni Mbwe Mbwe
Aroro na BienAime ni Mbwe Mbwe
Hapa ni Mbwe Mbwe

Piga kazi eh
Kulima sichagui jembe
Mzigo wangu wacha ni bebe
Jipange ama tukupange

Wacha kitu eh
Wacha kitu shetani ahepe
Si alijileta mwenyewe
Hapa ni shangwe tu na Mbwe Mbwe
Hapa ni Mbwe Mbwe

Aroro
Fungua button ya shati imekukaba ko
Fungua pia mshipi achilia tumbo
Usiogope kukula jasho yako (Kula jasho Yako)
Mamama

Aroro (Roro)
Nikona size yako yangu 4 by 4
Kadogo mali safi better than before
Pesa sabuni na inaniosha roho
Oh oh oh

Aroro
Fungua button ya shati imekukaba ko (fungua button ya shati)
Fungua pia mshipi achilia tumbo (Fungua mshipi)
Usiogope kukula jasho yako
Mamama

Aroro (Roro)
Nikona size yako yangu 4 by 4 (4 by 4)
Kadogo mali safi better than before (Than before)
Pesa sabuni na inaniosha roho (Osha roho)
Oh oh oh

Hapa ni Mbwe Mbwe*6

Huku kwetu
Huku masikini na wadosi
Kuna ma-barbi na ma-odi
Hatupangui rangi ya ngozi

Lokesheni yetu
Badilisha lokesheni
Pesa ni mingi pombe haitoshi
Nakuemeanza kunuka moshi

Aroro
Fungua button ya shati imekukaba ko (Shati)
Fungua pia mshipi achilia tumbo (Tumboi)
Usiogope kukula jasho yako
Mamama

Aroro (Roro)
Nikona size yako yangu 4 by 4 (4 by 4)
Kadogo mali safi better than before
Pesa sabuni na inaniosha roho
Oh oh oh

Mbwe Mbwe *5

#MbweMbewe #BaldMenLoveBetter
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

🎶 Hapa ni shangwe tu na Mbwe Mbwe 🎶 Where are you watching from?

sautisol
Автор

Hii ukiskiza alafu uwashe kitu, inafukuza mapepo na mashetani zote za siku. Hapa tu ni mbwe mbwe. Hii nayo tuliwapata.🇰🇪🇰🇪🇰🇪

BenSoul
Автор

nyimbo kali sanaaa hatari...haya watanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 wote tunalike hapa from dar es salaam, shinyanga, mwanza, kigoma, tanga, mbeya, mtwara, arusha, dodoma, tabora, coast region, zanzibar, kagera etc yaan hapa ni mbwebwe....

mussamakuka
Автор

I am leaving this comment here so that anytime someone likes it I can listen to this amazing song again and again. What a master piece❤️❤️🇰🇪💯

ResearchRendezvous
Автор

If you're from Rwanda, Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi, South Sudan, Sudan, Comoros, Seychelles, Mauritius, Democratic Republic of Congo, Congo-Brazaville, Nigeria, Ivory Coast, Madagascar, Angola, Niger, Senegal, Ghana, Gambia, South Africa, Somalia, Ethiopia, Eritrea, Djibouti, Botswana, Guinea, Benin, Cameroon, Cape Verde, Togo, Burkina Faso, Gabon, Chad, Sierra Leone, Mauritania, Namibia, Lesotho, Zambia, Malawi, Mozambique, Zimbabwe, Liberia, Egypt, Tunisia, Morocco, Swaziland, Algeria, Equatorial Guinea, São Tomé & Principe, Central African Republic INLOVE WITH THE MUSIC

vincentligami
Автор

Heavenly Father I pray that you keep the person reading this alive, safe, healthy and financially blessed Amen.

sirdonyxsaphire
Автор

We were here 2022, 2023 and still here 2024 hapa n mbwembwe

marinteldaisy
Автор

I'm really feeling this beautiful song. Love from the Gambia 🇬🇲🇬🇲🇬🇲

zalamass
Автор

BREAKING NEWS:bien has been charged for murdering an innocent beat

PLUGTVKENYA
Автор

Sauti Sol's songs touch my soul!! Now I'm def gonna learn Kiswahili. Love from 🇳🇬

josephsamuel
Автор

Song on repeat until Bien's hair grows back.

ongarorobert
Автор

This song brings out the cool vybez, nani anakumbuka sauti sol zile enzi za "another one for the 🔥🔥

LayonMedia
Автор

Live from Nigeria 🇳🇬🇳🇬... Saw this on Soundcity and came here! Lovely song from East Africa (Kenya)

brandiator-io
Автор

I love the song, from the time it was released, wapi mbwembwe za WAKENYA, WATANZANIA, na AFRIKA mzima

evansbarasa
Автор

I will leave this comment here so that each time someone likes it I will come back to sample this amazing piece of art and lyrical greatness.

Immortalob
Автор

Aah hii ni KLASIK MUZIK 🙌🏼 proudly East African

Davie
Автор

🇷🇼🇷🇼 we appreciate bambiii 😢
This song brings unknown memories and emotions 😢
Thanks Sauti sol

theoxygen
Автор

Vibing on a beautiful Sunday morning in Zambia 🇿🇲

chewekaminsa
Автор

Let me tell you Maina .. Sauti Sol are getting us through Dec while we are still in November 🇰🇪💯❤️

duncanyoung
Автор

Any Nigerian in Say hi!
Let's show love to our Kenyan brothers

onioluwarotimi
visit shbcf.ru