🔴#Live: RAIS SAMIA AWACHANA MAWAZIRI na VIONGOZI ALIOWAAPISHA - ATOA HOTUBA NZITO - IKULU...

preview_player
Показать описание
🔴#Live: RAIS SAMIA AWACHANA MAWAZIRI na VIONGOZI ALIOWAAPISHA - ATOA HOTUBA NZITO - IKULU...

============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)

⚫️ OUR PLAYLISTS:

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hongera sana mama kwa kazi nzuri unayoifanya katika nchi yetu Mungu akulinde, ,
Mama mimi naitwa Elida nafanya biashara ya kuuza samaki wabichi Mpanda mjini, naomba msaada wa freezer kwa ajili ya biashara yangu.
Naimani umepokea ombi langu Raisi wangu

ElidaSitima
Автор

Huyo Rais Samia ni neema kwa wananchi wa huko unahisi kwamba anazungumza kwa moyo wake mungu amsaidie na mungu ndie aliemwka hapo hongera raisi

alialamoudi
Автор

Hongera sana mama unafanya kazi yako vizuri sanaaa please mama nakuomba unisaidie kuniongezea mtaji wa biashara ya chakula.

fettyRama-xe
Автор

mama samia tunakipenda, sana mama yetu, lakini kuna watu wanahamua kwa makusudi, kuku alibia, sisi uku toangoma kwa saku, tokea 19, 12, 24, leo siku yapili akuna umeme, mama hawa sio watu wazuri kwako, mungu akubariki mama yetu

HelmanSolomon
Автор

Mama mimi naomba ukipata muda nina shida ya kuzungumza na wewe mama maswara muhim Sana mama samahani sana Kama ntakuwa nimekoseya,

Madini-ol
Автор

Dr Samia unaakili nying sana big up my President nimekupata sana

aminitu
Автор

Mh mama samia suluhu amri keshi mkuu nakuomba tu msaada mimi ni doctar au tabibu namba msaada wa makopo tu elfi 10000 na saratani kwa mda wa siku tatu tu na elimu ninayo yakutosha na ushauri wa kutosha

NyamalongeMatiko
Автор

MUHESHIMIWA RAIS SHIKAMOO, MIMI NAITWA MAGRETH SIMBA NAOMBA NIKUPE PONGEZ I UNAFANYA MAMBO MAZURI MNOO MNOO TUNAJIVUNIA KUWA NA WEWE , MUNGU AKUWEKE MIAKA MINGII TUNAKUPENDA

MagretiSimba
Автор

Mama kaza buti mungu anakulinda usiogope mwakani 2025 nakuombea kwa moyo mzuri upewe mingine10 tena

NyamalongeMatiko
Автор

Ndumbaro ali fit sana kwenye wizara ya Michezo

saidmasoud
Автор

Mh samia suluhu hassan naomba nisaidie nataka nipate kaz ya kusimamia miradi yako isiyumbishwe

samirseifalhinai
Автор

namuona pale baba H.Mwinyi 14:22-14:43 akitoa tabasamu lakusema "dada ndo kesha sema. haya, sasa ni kazi tuu hapa"

jedidahbintidaudi
Автор

Mama sisi tuko pamoja na ww pia tunamuombea dr. Janabi ashinde kwa kishindo hii ndio tanzania tuitakayo

OmarKombo-hj
Автор

Handeni vijijini kata ndolwa Mzundu tunakupenda sana mama na tunakubari sana kazi yako ila huku inasikitishwa sana hospitali ya kata hatuna ofisi ya kata pia hatuna barabara yetu ya kwedikwazu to sindeni turiahidiwa rami pia bado

ShabanSengulo
Автор

Mshaambwa. Samia siyo daktari bali doktari. Hana hata shahada ya kwanza jamani mna matatizo gani? Msigeuza uchawa na kujipendekeza kuwa sera za taifa letu. Kabundi anatia aibu anavyojidhalilisha mbele ya mtu asiyeweza hata kuhudhuria darasa lake.

nkwazigatsha
Автор

Dada Aisha niwazili wa mifugo kutulinda sisi wafugaji au vp sisi wasumbufu hivi mnajua kunawafugaji ila pakuchungia hamtengi tunaishi kama digidigi

lugembesweya
Автор

Tumekosa mtetezi eti Aisha unawajua wafugaji kuchungia hifadhi swali unamaeneo yakulishia mifugo unateua waziri wa mifugo Wanini kazi yake nini jamani kutulinda kuchunga hifadhini au?

lugembesweya
Автор

Wewe bibi acha kelele unatuchefua kweli

rogerabdallah
Автор

Mh mama samia suluhu amri keshi mkuu nakuomba tu msaada mimi ni doctar au tabibu namba msaada wa makopo tu elfi 10000 na saratani kwa mda wa siku tatu tu na elimu ninayo yakutosha na ushauri wa kutosha

NyamalongeMatiko
Автор

Mh mama samia suluhu amri keshi mkuu nakuomba tu msaada mimi ni doctar au tabibu namba msaada wa makopo tu elfi 10000 natibu saratani kwa mda wa siku tatu tu na elimu ninayo yakutosha na ushauri wa kutosha

NyamalongeMatiko