JUMA LA UWAKILI | PR. KENAN MWASOMOLA | 06.10.2024 | DAY 1

preview_player
Показать описание
Juma la Maombi la Uwakili
Tarehe 05 - 12 Oktoba, 2024
Mnenaji: Mch. Kenan Mwasomola
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

We still having true pastors who are God fearers like this Pastor as we are waiting for the second advent of Jesus Christ. Indeed am blessed. God bless you Pr.

dicksonmatete
Автор

Pr Mungu akubariki sana kwa kumuelekeza kusimamia kwenye kusoma Neno la Mungu na kusimamia kweli maana ndo usalama wetu. Kwakweli napenda kufuatilia mahubiri yako.

marthalusega
Автор

Ubarikiwe sana Mchungaji kwa Injili yenye kuleta wokovu.

ChristinaMyamba
Автор

Hakika Imebandikwa. Hongera sana Pr K Mwasomola sema kweli Baba.

augustinejohn
Автор

Kila andiko lenye pumzi ya Mungu barikiwa sana Mtumishi wa Baba

dismasmalele
Автор

Mungu asaidie kiinuke kizazi kitakachorithi njia ya mzee huyu
Kukemeaa dhambi karne hii yataka moyo kwakweli.

jamesmgonda
Автор

Ninabarikiwa sana na huo ukweli unaofundisha ili tupone

marthalusega
Автор

Jamani ibaada inaanza Saa ngapi Kwa hili juma

danmihambo
Автор

Mpk hili juma liishe mbn mtakua mmenyoka mangomeni nyie ndo mnaongoza kuvaa nguo fupi na minywele vichwani! unaleta uzungu kanisani.

mamalaozphilemonmtawali.