B2K CHANGAMOTO official VIDEO

preview_player
Показать описание
*Follow B2k on
Twitter
Youtube

Asante kwa kutazama video zangu, Tafadhali subscribe.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

We jamaa inatakiwa UPEWE TUZOOO MAANA UNACHOKIFANYA WEWE SIJAONA WASANIII WENGINE WADOGO WAKIFANYA GOD BLESS YOU MNYAMA

begaca
Автор

Nakuelewa b2k jaman Iringa na njombe mpo wapi???? likeee jmn.

malkiaelizabethmhongole
Автор

Mdogo wangu nyimbo zako nzuri sana ata ukiweka mbele ya watoto kwakweli upo vizuri

happymwagike
Автор

Hii nyimbo angekuwa ametoa msanii mkubwa ingefika mbali sana ila kwavile ni kizazi kipy i hop hii nyimbo itafika tuu GOD BLESS YOU

azizacleny
Автор

Nimejisikia kuona Barabara ya Luganga to Mafinga mjini...tuliosoma KAWAWA JKT...Tujuane tafadhari

lubavaclassic
Автор

Sijachelewaa leo Kucheki video yetu vzr nani anamini #B2K #2020 mwaka wa mafanikio radio kubwa lazima zipige nyimbo zetu Kikubwa dua.. #Like

masakaupdate
Автор

I love this song/wimbo unaujumbe mkali sana kwa ajili ya maisha.Hongera brother @B2k

asukulumceleca
Автор

Mwana anajua sana huyu kama unamuelewa gonga like tujuane mashabiki Wa kweli

wilsonndahani
Автор

Msanii wangu huyu Kwenye TOP10 ya 10BORA watakaotamba 2020 "KATAA TUON£"👀👀

kimutattoo
Автор

B2k ni bonge la msanii ila sijui anakwama wap ila namuelewa sana na ngoma zake zote ninazoo hajawahi kukosea

skylarktv
Автор

Uyu Jamaa Namkubal na kumfananixha Na Best Nasso wanavyoimba ngoma za kuelimisha

majudadykid
Автор

😘😘😘Naipenda nai imba yote bila mbambamba🌌ilove❤b2k🎉🎉

CatherineSadick
Автор

It's a nice song..in this
Aise..
B2K....i need your like here to ma comments....bro....

million.onlinetv
Автор

Mimi ni wa ilembula njombe, b2k wapajua vizur maan jiran na makambako lakin nafny kaz moshi kiukwel mzik wako kwa huk mzur nlijihs saf Sanaa kuskia nyimb zako huk uko juu nahs niko hom makambko pamj

edwinmponzi
Автор

Imenigusa sana hii ngoma.. NITAPAMBANA HADI DUNIA INIELEWE MIMI NI NANI?

msetoonline
Автор

B2K from kenya feel loved bro this is awesome good work

nehzreal
Автор

Nenda pale kwenye lebo fulani naamini utakuwa bonge moja la star maana music wako nauelewaga mno

kfromtd
Автор

Daaaah Kuna broo angu geto kwake ngoma za B2K zotee ndo anapiga sijui akisikia hiii itakuw ndo song lake la 2020

ernestonesmo
Автор

Kama na wewe utamaini katika maisha. Yako uta fanikiwa basi piga like apo tu tujuwane like apo tu

wanyambicomedy
Автор

Bro huu wimbo uko sawa sana, , Mungu akubariki na uzidi kutoa vitu kali kali hivo

official_westernbwoy