JAY COMBAT WIVU (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Safi sana mapinduzi makubwa, hakuna matusi Kuna ujumbe, kuonya na kukumushana, Huyu ni pacha wa 20%, 👍👍👍💪

evaristchikawe
Автор

Mwamba unanifanya nianze kuipenda singeli, full ujumbe halafu kiustaraabu kabisa bila fujo🎉🎉

-n
Автор

Mm siyo mpenzi wa singeri ila hii imenikosha much respect bro

dicksonfelician
Автор

Jay kombat ulikimbiza Zombi wa singeli🥶🥶🥶🙌🏻🙌🏻🙌🏻

ChristopherTemu
Автор

Pambana mwamba muumba amekunyooshea MKONO wa neema, TUBARIKI we mh.

operabetaoperabeta
Автор

You got one JC.
Singeli is going to be the music of the new age, and you’re the face of it❤️

suwijrtanganigga
Автор

Jama anajua Ila sasa watu wamsaidie huu wimbo umlipe airudie studio iwe kibiashara zaidi

donald-mwilwa
Автор

Piga makof matatu 👏👏👏 jey nimtu wa watu. Nakubali

roseaidan-yorr
Автор

Bila kuchoka weka mawe kwa heshimaa 😅😅 huyu jamaa ni 🔥

gidiondalali
Автор

Unajkuta unaacha kumpa like muimbaji amefanya kazi kubwa unaniomba like wew umefnyakazi Gani achaa wivu🎉🎉🎉🎉❤

lukasmaro
Автор

Nmekupend bur kpnz huna vurg sio km wengin💝💝💝

FatmahBakary
Автор

Mziki mzuri, ujumbe mzuri mnoooo🎉🎉. NATAMANI NIIPATE OFFICIAL AUDIO ORIGINO

JackMart-lp
Автор

Oyoooo 🎉 vibe 🔥🔥 mwanagu umeua nakubali 😂😂😂❤❤❤ 5:59

NajmaahSaid
Автор

Safi sana hatumii nguvu amesimama tuliii sio wale mara kashika mapumbu

haisamseif
Автор

Nilijua ni Dar tu kumbe hata huku Tanga boda boda wanaupiga huu wimbo noma umebamba!

hashimmziray
Автор

Ww na darasaa pigeni jimbo jaman.maana nyote munajuwa

ZainabSaid-nv
Автор

jay unajua sana kaka I see chukua 💐💐💐💐💐💐💐💐

beatboy
Автор

Nomaaa sana hili gomaaa hatari jay combat

jizzomonster
Автор

Big revolution my friend, God bless you more

operabetaoperabeta
Автор

Nimeanza kukufuatilia upo vzr singeli darasa

athumanfuko