#TBC1: WEKEZA TANZANIA: TIC YADADAVUA VIVUTIO VIPYA VYA UWEKEZAJI NCHINI.

preview_player
Показать описание
Kipindi Hiki Cha Wekeza Tanzania kinakuletea mahojiano maalum na Mkurugenzi Mkuu wa Kituo Cha Uwekezaji nchini TIC Gilead Teri ambaye anadadavua Kwa undani vivutio vipya vya wawekezaji hapa nchini.

Mtangazaji - Vumilia Mwasha
Mwongozaji - Neligwa Muggitu
Mdhamini - AZANIA BANK
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

I love this programme. Keep doing what you do best Vumilia.

micahmutinda
Автор

This message is for the Executive Director, Tanzania Investment Center (TIC) Mr. Gilead Teri.


Investment in the future of the Tanzanian steel industry!
An important decision for climate protection and Tanzania as an industrial location!

Investment for decarbonization project "Green Steel, Green Future" is very important.

Msirudie tena makossa makubwa sana yaliyofanywa wakati ule 1980´s na 1990´s yaliyosababisha bwawa la Mtera na Kidatu kufungwa kwa kutoweza kupata maji ya kutosha yanayohitajika katika ufuaji wa nguvu za umeme. Maji ya mto huo yote yanatoka kwenye milima ya Iringa, huko kwenye uzalishaji wa chuma cha liganga.

EmanuelMuna-wq
Автор

Ni kijana mwenye akili bysara sana Mungu hskusimamia ila wekezaji watanzania mtaji mkubwa sana mngepunguza kidodgo ili wenhi waingia wazalendo wapate fursa

dn.n
Автор

State capitalism policy ndio inayofaa kwa tz Nyerere alijua mapema lakini private capitalism ni kuitumbukiza tz kwenye utumwa wa kiuchumi

issakwisamwasanjobe
Автор

, hivi mashine za masjine za umwaliagi kilimo unasamehewa

dn.n
Автор

OFISI ZA TIC ZINAPATIKANA WAPI HAPA DSM

DikiMuhanika