#EXCLUSIVE: LULU DIVA AMWAGA MACHOZI AKISIMULIA KIFO CHA MAMA YAKE, WOSIA ALIOMUACHIA - 'USILIE'

preview_player
Показать описание
#EXCLUSIVE: LULU DIVA AMWAGA MACHOZI AKISIMULIA KIFO CHA MAMA YAKE, WOSIA ALIOMUACHIA - "USILIE"

GLOBAL TV tumefanya mahojiano na Mwanamuziki Lulu Diva, ikiwa ni miezi michache baada ya kifo cha mama yake mzazi.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)

⚫️ OUR PLAYLISTS:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Waandishi tunawapenda sana lkn tunaomba mumpunzishe huyu bint angalau kdg asahau mnapomhoji kila siku na kumuuliza maswali khs mamake hatasahau haraka tunawaomba sio kwa ubaya

jaharaoman
Автор

Hakuna mtu anaweza kumjua mtoto kama mama....yamenikuta na Mimi sana mama yangu😭😭

lucykonyo
Автор

Mtu wa kawaida awezi kuelewa hiki kitu ila kwa sisi tulioondokewa kabla ya kufikisha miaka 18, ndio tunaelewa, Pole sana lulu, ubinadam ni kazi sana, Allah akupe faraja any time 🙏

saumusalimuhassan
Автор

Umeongea vizuri sana...Umenifurahisha na maneno Yako ya hekima

magretsamba
Автор

I love ye so much ❤️strong woman lulu diva ❤️frm Zambia

mwabakabwe
Автор

Shangazi nimekupenda buree. Hongera sana Lulu diva wewe ni mwanamke wa shoka 😘🇬🇧

serianjamal
Автор

Nilipita huko mpk Leo sijawahi kupona...Mungu akuwekee pazia Diva 🙏🙏🙏🙏

heriethkusigwa
Автор

Hakuna km mama jamanii duaa muhimu kwa wazazi wetu waliotangulia mbele za haki

noorissa
Автор

Ata mimi nakuamini kwenye kuingiza maman ❤

JoyceKiss-ij
Автор

Be energerzed God will be will be with you always

vionahsikanga
Автор

Pole Sana dada mungu akutienguvu dadangu

umazinada
Автор

Asikwambie mtu kuondokewa na mama ni mtihani sana

salmaabdulabdul
Автор

Umenigusa sana Lulu, nimepitia hayo pia, Pole sana, Mungu azidi kuwa mfariji wako

euphrasiantawatawa
Автор

Its sad to loose mother Lulu pole sana but jitahidi kujikaza na muombe mungu ampumzishe kwa amani

kkali
Автор

Muombee duwa sana mama mtolee sadaka aliko atakuwa na faraja hata wewe Allwa atakupa faraja ya duniani na akhera unaposali pia muombe duwa sana hiyo ndo inavyotakiwa kwa muislam ukimsahau na wewe utasshaliwa hilo ulijuwe

abdulab
Автор

Jaman muachen lulu apumzk ayo machungu 😥

nashasoud
Автор

Pole sana jitahidi uzae mtoto nikilakitu hatoziba pengo la mama lakini ni faraja tosha amini.

doreensam
Автор

love you lulu take heart sorry for you lost

Farajahelene
Автор

Pole sana lakini inauma sisi wengine tulikosa mama zitu tungali namyak 7 sasa ivi tushazowey lakini ukikosa mama ukiwa mkubwa inauma zaidi

kwizerazainabu
Автор

Mungu akutie nguvu hakika mzazi anauma jaman

antiagaspary