JOSLINE ANAFUNGUKA MAZITO/ KILICHOMUINGIZA KWENYE../ CHANZO CHA YOTE/ DULLY SYKES/ BIFU NA MR BLUE

preview_player
Показать описание
--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.

JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News

#Dar24 #Dar24Media
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Big up sanaa Mr JOSLIIIN yaani kazi safsanaa 💥🔥🔥🎉🎉

Joseracalitto
Автор

Huyu jamaa ni mkali tena sio kidogo muziki alioufanya Jos hakuna wa kuupoteza mpaka tunakufa bado vizazi vingi vitainjoi xana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ one love Joslin

AmisamauridNgagada
Автор

My role model enzi hizooo!!Amenishape namna flani kuwa Smart n swag!! He's still humble n minato na midondoko ile ile!!He was way a head of time!!

mimosapudica
Автор

Jamaa ana love sana na washkaji zake after all these years, this is rare.. he is a real one!

nathanielmpeta
Автор

Bonge La Interview.. Joseline Anajua Sana Kujieleza Katulia.. Huchoki Kumsikiliza 🙌🏾 Presenter Anauliza Maswali Ya Msingi Sana.. BEST 2023 INTERVIEW SO FAR..!!

karimhemed
Автор

Maaaan…. mwamba Kaua sanaaaa, nimependa sehem aliyotangaza Vita 😂🙌

SoudyBrown
Автор

Joslin you are big na Sasa tuko kwenye digital world you don't need no body... Just take your content to the digital.. Yani hata ukianzisha Podcast unatoka watu wanapenda kukusikiliza tu hata Kama huimbi.. una vibe na Kila mtu.. Mungu unayemuomba akusaidie you are good to 🔥🔥🔥🔥🔥

mathiaslyamunda
Автор

Me nampenda sana akiongea yaan natamani arudi kwenye game aisee he's absolutely amazing

subrynerysegerow
Автор

Jos ameongea FACT sana kuhusu kuimba nyimbo za mtu kwa stage. Respect you bro

pascalcostantine
Автор

Brother Joslin wimbo wako ulinipa pesa sanaa ule niite basi....i was in primary and i was doing writing for others such song and paid....i was like grade 5 or6

siraaronmallya
Автор

Mimi ninachokiona leo ni tofauti na ile interview ya wale shilawadu, nakuomba sana Jos stay possitive bro najua ni ngumu kuachana na urahimu ila ni rahisi kuachana na marafiki wanaokupelekea kwenye urahimu, namba 1 wa kuachana nae ni yule mliyekua nae kwenye ile interview, kwa sababu ndiye niliyemuona, wengine siwajui ila achana nao. Muombe Mungu akusaidie kwa hili na ikibidi mkabidhi maisha yako okoka. Mengine yatakaa sawa kadhi Mungu atakavyo bariki. Sisi tunaokujua kipindi kile tunasikiliza nyimbo zenu kwenye SONY WALKMAN unakua na zile kanda za (Kali za bongo) ndio tuna uchungu na nyie. Ni hayo tuu.

shepherdmosha
Автор

Bila hata kupepesa macho nafikiria Barnaba Classic atakuwa amekuelewa vizuri 🤔🤔🤔

hezekiahelbertonline
Автор

Nigga got swagg! Can be market if he's serious #Jos+Jos

chancesholdan
Автор

Jamaa bonge Moja la singer rnb i'la dah his pambana bana...

abiboseleman
Автор

Sema joslin mnyamwezi sana kapoa kinyamwezi hata ongea yake ya kinyamwezi sana Nakubali sana

efraimrichard
Автор

Bro uko vizuri katika kumhoji msanii na pia msanii brother josline yuko vizuri katika kujibu na kuelezea kwakweli tumelizika kwa interview..Ila naomba mtafuten na spack wa nipe report (tunda na spack)

sasquaremusic
Автор

Ngoma za wakali kwanza nilizinunulia daftari maalum nikaziandika na penseli za rangi 😀

abelkilumbu
Автор

Big up dogo👍 makofi kwa wingi.

Niseme tu kwamba, , , kuimba nyimbo ya msanii jukwaani ni makosa. Ni kumuibia msanii kazi zake. Ndio maana utasikia ughaibuni, , hata ile tu kupost nyimbo ya msanii utasikia " I have no right to this song, , huu mwimbo ni mwimbo wa . .... mfano huu mwimbo ni mwimbo wa Joslin, , au kwa ruhusa ya Joslin, , , tena kila ukiucheza asilimia fulani ya malipo inakwenda kwa muhusika wa nyimbo yake. ( period./ nukta )

jovitham
Автор

Anaongea Kama ana rap you just want keep listening 👍🏾👍🏾👍🏾

mathiaslyamunda
Автор

Wendoambaye umemkopi blue, , , , hyo style alianza nayo blue nandmn hata kimafanikio blue amekuacha mbali

veenpoul