EXCLUSIVE: TAZAMA WASIFU wa JAJI WARIOBA KABLA HAJAFA/KUNYWESHWA SUMU/SHULE/WAZAZI/MKE NA CHEO

preview_player
Показать описание
Yote usiyoyafahamu kuhusu Maisha ya Jaji warioba Tokea Akiwa mdogo ,Makala hii inazungumzia Yote mpaka Aliponyweshwa sumu, Fuatilia Makala hii kabla hajafa Kunamengi utajifunza katika Maisha na Hali ya sasa kidunia

#history #alhamdulillah #cloudsmedia #efm #exclusive #simulizinasauti #wasafimedia #dullysantz #millardayo #santzmedia

© Copyright 2024 on SAN TZ MEDIA
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Historia nzuri sana ya Mzee wetu Warioba. Ila we mwandishi huna weledi, unasoma kama kasuku, hujui usomacho: UCHAGUZI eti Uchunguzi!

NyatseLogistics
Автор

Muhimu kwa wanafunzi kusaidia wasome kwa makini kuinua nchi yetu.
Wapelekwe kumuona akiwepo awape siri ya Mafanikio makubwa kwa kuinua Tanzania.
Historia ziwekwe Makumbusho zisomwe na Picha tafadhali.
Mungu amlinde jemedari wetu.

hopegwimile
Автор

Huyu ndo Kiongozi wa juu aliyewahi kushika nafasi nyingi za juu katika Mihimili yote kuliko kiongozi yoyote Tz,
1)Makamu wa 1 wa Rais,
2)Waziri Mkuu
3)Jaji wa Rufani
4) Mwanasheria Mkuu
5) Mbunge,
6) Mwenyekiti Tume nyingi nje na ndani ikiwemo Tume ya Katiba.
7) Mkuu wa chuo SUA
8) Mshauri wa Rais

frankpeter
Автор

Huyu Mzee ni mtu mzuri katika Viongozi wa Tanzania hatokezei kama huyu ni Lulu ya wa Tanganyika

ashahamad-mqiz
Автор

Kichwa cha habari "kabla hajafa" kinatatanisha kinaleta maana tofauti

Worldunite
Автор

Kipindi Warioba akiwa waziri mkuu pia alikuwa Makamu wa kwanza wa Rais na sio makamu wa pili wa Rais. Tujitahidi kuweka taarifa sahihi kwa manufaa ya umma

eliandutila
Автор

Masahihisho: Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais, na siyo Waziri Mkuu na Makamu wa Pili wa Rais.

Usertv
Автор

Jaji Joseph Sinde Warioba alikwa Mwanasheria mkuu wa Serikali na wakati huohuo akiwa Waziri wa Sheria pia; Jaji Warioba alikuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais tangu mwaka 1985 mpaka 1990

NYAKONGOBWIRE
Автор

Mwandishi wa makala anapaswa kurudi Chuo cha uandishi wa Habari, vinginevyo ataendelea kutoa habari zilizo chini ya viwango.

stephenndagalla
Автор

Waanze kumuenze akiwa bado yupo kupitia rasim ya katiba mpya

DAVIDMGOBA
Автор

huko mwanza alisoma shule ya sekondari Bwiru.form 1 hadi form 4.

edwardmakonge
Автор

Hamjui namna ya kuandika hata vichwa vya habari yenu

geofreysekei
Автор

Uyu jaa alie andika kichwa cha habari sijui yukoje

onesmothimos
Автор

Hiyo picha ya Makonda akimzonga zonga Jaji Warioba(wakati akielezea ripoti yaTume ya Warioba/Katiba mpya), anajisikiaje huyo Makonda aionapo hiyo picha?? Pia Jaji Warioba, anajisikiaje?? Aidha, Rais wa nchi (Mwenye imani kubwa kwa Makonda), anajisikiaje??

stephenndagalla
Автор

Judge warioba is the simple man in Tanzania national as the former prime minister during late julias kambarege Nyerere leadership has the experience in Tanzania gavment Since late julias kambarege Nyerere leadership has been advised ccm gavment for long but gavment official sametime lngnorant whale judge warioba has experience from Tanzania to lntanationol organization considering his duty done by judge warioba on lntanationol community organization question are leasening to judge warioba

abdalahgunda
Автор

Hivi wewe mwandishi kweli bunda ni kitongoji

Kazaliwa kata ya ikizu wilaya ya bunda kitongoji cha nyamswa uwe unauliza kbla ya kutoa habari

nyakwesichanzi
Автор

Wasifu kwani alikufa si yupo? Tena tunatoka katiba mpya aliyoiandaa mpo?

asteriashios