#THE STORY: HISTORIA VISA NA MAAJABU YA UNJU BIN UNUK JITU REFU KUWAHI KUISHI TANZANIA (PART 1)

preview_player
Показать описание
Hii ni Hostoria inayo muhusu Unju Bin Unuk JITU refu lililo wahi kuhishi hapa nchini Tanzania. Historia yake imepata kisimuliwa sana pwani ya Afrika Mashariki na bahadhi ya maeneno ya Afrika ya kati. Baadhi ya Mabaki ya Unju Bin Unuk yamehifadhiwa katika nyumba ya makumbusho Huku tabora. Unju Bin Unuk anatajwa kuwa ni mtu mrefu KUWAHI kutokea kutoka na urefu wake huo hakuwahi kuoa Wala kupata Mtoto Moja ya kisa chake maarufu zaidi nikuwa aliweza kutembea kutoka nchi moja Hadi nyingine kutokana na urefu wake ambapo moja kati ya nyayo zake inapatikana nchini Tanzania na nyingne inapatikana nchini DRC Congo.

Fuatilia similizi tamu iliyo jaa Visa Vingi vya Mapenzi inayo muhusu kijana Abdumalki aliye badilisha Dini ni kugombana na familia yake kisa mwanamke ambaye alimsaliti

******Social Media******
Instagram @onemaxtz
Facebook @OneMax Tz
Рекомендации по теме