ZUCHU AMWAGA MACHOZI DADA ESMA NIMEKUKOSEA NINI KWANINI HUNIPENDI DIAMOND NISAIDIE

preview_player
Показать описание
#ESMAPLATNUMZ #diamondplatnumz #ZUCHU

ZUCHU AMWAGA MACHOZI DADA ESMA NIMEKUKOSEA NINI KWANINI HUNIPENDI DIAMOND NISAIDIE

ZUCHU ANENEPA GHAFLA SUONI MASHAVU HAYO MJAMZITO UTAPENDA AKICHEZA NA WATOTO WA SHULE

ZUCHU AMWAGA MACHOZI AKIWA GYM/MJAMZITO/MTAZAME AKIFANYA MAZOEZI YA KUONGEZA SHEPU

ZUCHU AMFANYIA SUPRISE MAMA DANGOTE AMPA ZAWADI NZITO AALIYAH NA ESMA WASHANGAA

ZUCHU AANZA KUGAWAA NGUO KWA NDUGU NA MARAFIKI ZAKE AMUIGA DIAMOND

ZUCHU AONYESHA SHEPU YAKE AJIKOLEZA FILTER AJICHUKIA YEYE MWENYEWE

MAMA ZUCHU WAKUTANA USO KWA USO NA JUMA LOKOLE

ZUCHU NA ESMA WAKIWASHA TENA WAPIGANA BLOCK TENA MAMA DANGOTE AINGILIA KATI AALIYAH ANAPENDWA

ZUCHU ARUKA LIVE KUTOKEA SOUTH AFRICA AENDELEA KUFANYA SHOPPING

ZUCHU NA ZARI WAKUTANA USO KWA USO SOUTH AFRICA APEWA UFUNGUO WA NYUMBA YA DIAMOND

ZUCHU AFANYA KUFURU AONYESHA MENO YA ALMASI ATUMIA MAMILIONI PESA DIAMOND APAGAWA AMPIGIA SALUTE

ZUCHU ATUA SOUTH AFRICA AENDA KUFANYA SHOPPING

ZUCHU AMFANYIA SUPRISE MAMA DANGOTE KWENYE BIRTHDAY YAKE NAKUPENDA MAMA HUNA BAYA AANDIKA HAYA

ZUCHU AONYESHA UREMBO WAKE AKIIMBA JARO UTAPENDA ALIVYO MZURI ZAIDI YA MALAIKA

ZUCHU NA MARAFIKI ZAKE WAMALIZA SINIA KWA DAKIKA MOJA

ZUCHU AMNYOOSHA ESMA AKUBALI YAISHE AMUOMBA MSAMAHA WIFI YANGU YAISHE MAMA DANGOTE ANAKUPENDA HATARI

ZUCHU AMWAGA MACHOZI BAADA YA KUTUKANWA NA KUCHEKWA AWAJIBU HUJUI KUIMBA LIVE ACHA MUZIKI

ZUCHU AMSAMEHE DIAMOND AMUOMBA MSAMAHA KWA KAULI YAKE UMEFATA PESA HUNIPENDI NAKUOA MIMI MME WAKO

ZUCHU AMSHTAKI DIAMOND KWA MAMA YAKE ETI NIMEFATA PESA ZAKE SIO MAPENZI YA DHATI NAACHANA NAE

ZUCHU AZIDIWA NA PENZI LA DIAMOND AMFANYIA VITUKO HIVI UTANIPENDA TU

ZUCHU AMWAGA MACHOZI DIAMOND UMEJUA KUNIDHALILISHA INA MANA KUKUPENDA KOTE HUONI NIMEFATA PESA ZAKO

ZUCHU NA AALIYAH WAPEWA MASHART MAGUMU NA DIAMOND MKITAKA NIAMINI HAMJAFATA PESA ZANGU FANYENI HIVI

ZUCHU APINDULIWA NA TANASHA UJUMBE MZITO ATUMIWA NIME M MISS DIAMOND NAMPENDA

ZUCHU MJAMZITO AIBUKA NYUMBANI KWA DIAMOND KUMUONYESHA "GEUKA TUONE" SAUTI YAVUJA

ZUCHU AMRUDISHA PAULA KWA #RAYVANNY JISHAUE MAMA ANUNULIWA ZAWADI YA MDOLI

ZUCHU AMNYAMAZISHA ESMA NA AALIYAH DIAMOND NI WANGU HAMNIWEZI MJIPANGE

ZUCHU NITAMZALIA DIAMOND MTOTO WA KIUME NAMDEKEZA KAMA MTOTO MAMA ANATAKA NDOA

🔴LIVE: ZUCHU ANAFUNGUKA YOTE NDANI YA MGAHAWA | WASAFI FM

BABA LEVO MBELE YA ZUCHU - "UMEMKAMATA DIAMOND PLATNUMZ, NAKUPONGEZA"

ZUCHU AMKATIKIA VIUNO DIAMOND WAPIGANA MA BUSU HADHARANI WAMERUDIANA AKIZINDUA JARO NA FIRE

#Jaro #Fire #Zuchu
ZUCHU akimkatikia DIAMOND kwenye Private Party nyumbani kwake akizindua JARO na FIRE

ZUCHU APONZWA NA NGUO FUPI AKIWA STUDIO APEWA ONYO KALI VIDEO HII YAWASIKITISHA WENGI

ZUCHU, MBOSSO NA #LAVALAVA BUNGENI #DODOMA

ZUCHU JARO & FIRE NYIMBO MPYA

ZUCHU AZIDI KUONYESHA HASIRA KWA DIAMOND SITAKI WANAUME TENA

ZUCHU HANA HAMU TENA NA DIAMOND SITAKI KUSIKIA JINA LAKE MKOME

ZUCHU AKUBALI YAISHE AANZA MAISHA MAPYA AMUACHIA AALIYAH AENDELEE NA DIAMOND SITAKI TENA

ZUCHU AZIDIWA UJANJA NA AALIYAH APEWA MBINU YA KIJESHI MZALIE HARAKA DIAMOND ASIKUACHE

ZUCHU ARUKA LIVE NA ARISTOTE KUACHANA NA DIAMOND PATA CHIMBIKA

ARISTOTE AFICHUA SIRI ZUCHU AMEACHWA NA DIAMOND/KAFUTA PICHA ZA DIAMOND/AMPIGIE SIMU MGANGA WAKE

YAMETIMIA ZUCHU NA DIAMOND WAACHANA AFANYA MAAMUZI MAGUMU AFUTA PICHA ZOTE ZA DIAMOND SITAKI TENA

Video: KAJALA na HARMONIZE waki-enjoy Gym/wapeana mahaba hadharani

ZUCHU LOCATION BEHIND THE SCANE

🔴#LIVE ZUCHU AMU-UNFOLLOW DADA YAKE DIAMOND ESMA PLATNUMZ AALIYAH JUMA LOKOLE CHANZO

#wasafi #wasafitv #wasafifm
VIDEO ZUCHU FT ADEKUNLE GOLD NYIMBO MPYA

PENZI LA ZUCHU NA DIAMOND LIPO ICU DALILI SIO NZURI WAACHANA

ZUCHU ASHIKWA NA MAWAZO MAZITO AOMBA USHAURI NIMENENEPA SANA JAMANI KILO ZIMEONGEZEKA MNISAAIDIE

ZUCHU DIAMOND ANANIJALI SANA/NAPENDA KIKI/NILITAKA NITOKE WCB/RUSHWA YA NGONO/WATOTO WAWILI

ZUCHU MJAMZITO AACHWA NA DIAMOND MAJIBU YOTE YAPATIKANA

ZUCHU APIGWA TUKIO NA DIAMOND NAOKOA MOYO WANGU SILAZIMISHI SIHUKUMU ZARI/TANASHA/WATAJWA

ZUCHU DIAMOND ANANIPENDA SANA ASIPO NIPOST HAIWAHUSU NACHO JUA TUNAPENDANA

ZUCHU KUACHANA NA DIAMOND BAADA YA KUFUNDWA UPYA NA MAMA YAKE WANAUME SIO WATU WAZURI

ZUCHU ATEMBELEWA NA MAMA YAKE KHADIJA KOPA AMPA FUNZO WANAUME HAWANA MANA SIO WATU WAZURI

ZUCHU ANASA MIMBA YA DIAMOND JANA AMETAPIKA MAPYA YAIBUKA KUHUSU UJAUZITO WAKE

ZUCHU KUPATA MTOTO NA DIAMOND NI MUDA MUAFAKA SASA

HURUMA ZUCHU ACHAMBWA BAADA YA KUVAA KIGODORO ACHUKUA MAAMUZI HAYA MAGUMU AMTAJA DIAMOND

VITUKO VYA ZUCHU USIKU HUU UTACHEKA KUCHOMA CHETI KWA M 20

Zuchu ATAMBA NINA kiuno KIDOGO, MWANAUME Akinipoteza ni MJINGA, Wanazengo WATOA NENO TATOO YA CHIBU

ZUCHU KIBOKO YA DIAMOND MNGANGA WAKO ANA NGUVU UTAMU WA TAJIRI SINA KITAMBI

ZUCHU NA DIAMOND MAHABA MAZITO FAMILIA YAWAPOKEA WAPEWA BARAKA #OKA

KINACHO ENDELEA KWENYE SHOW YA DIAMOND

#wasafi #wasafitv #wasafifm

🔴#LIVE:MAPOKEZI YA DIAMOND PLATNUMZ MWANZA MWIJAKU NA BABA LEVO WAANZA VURUGU

🔴#LIVE: DIAMOND PLATNUMZ ETHIOPIA SHOW FOA WORD TOUR

#WCB #ZUCHU
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Pole kipenzi zuu, usilie kwa sababu ya mtu, Kila kheri inshallah 🙏

mariambakari
Автор

Zuu na simba penzi Ni fire 🔥🔥🔥 alafu wanaendana 😍

zaidatty
Автор

Huyo Esma atampendaje wakat yk mwenyewe yanamshinda

alaikamyale
Автор

Diamond love's her ukiumwa kunywa sumu ufeeee

kabughosumaya
Автор

Esma hawezi kumpenda zuchu, kina kitu kafanya anaona akiwa karibu naye, madhara, halafu esma angekua kamzaa yeye mond naona angempa chumba awe anawaingiza anao wataki akijua wanazamaguana 👁️👁️

rehemaabdallah
Автор

Ata kuja kulipiwa kwa mtoto wake...afanyavo sio sawa

sultanaswaleh
Автор

Esma hao unmufanyia zuchu kumbuka naweye unawatoto wakike dada pole zuchu

mamawamireille
Автор

Nyoooo diamond akiwa na hali yaaa kwa yeye ndo ata lala hana hakili yeye

suzanaagustinookelo
Автор

Achanao zuchu jali mume wako anaekupenda kwaniwaspokupenda ndowatakutia wenyewe au wanakupa uhai jali mume usiumize kichwa kawaida ya mawifi

maliamjuma
Автор

Mdogowangu ikionaivyo ndooo hawakutaki hao wanajulikana kzyao kuvunjamahusiano yakkyao nishida mungu atakusaidia km nirizki yako huyo nasibu

zainabsaidi
Автор

Huyo esma anataka maisha yakizungu afu anakuwa nabifu na wifi yake ivikweli ww ndowakumu shauri mdogo wako soww tena wakumupa mdogowako changa moto hembu tuliza mshono ww mwanamuke usie jiheshimu wala usie jiamini wala kufikiri kitu kabula huja kifanya ww ni taila kweli yani yani hayomambo mfanyie zuchu nasio mm mana ukinifanyia mm utakoma ubishi nakupiga cheni unavimba juu

shemsamrido
Автор

Huyu dada wa simba yuwamtaka kaka yake alale nae yeye zuchu muache huyo mjinga alishindwa na dowa yake ndio yuwaingililiya ya kaka yake

mwanajumasururu
Автор

Nandio maana nayeye hadumu ktk mahuano yake namungu atamlaani tuuu ataishia kuchezerewa nayeyetu ktk maishayake

zainabsaidi
Автор

Zuuuchuuu achana na uyu bi kizeeee esma laana za wanaume zake alooachana nae zinamsumbua ww cha mcngi msikilize my love wako diamond sawa mdg wangu achana nae uyo bi kizee anaona wivu au anamtaka kakaake?

saudahassan
Автор

Yuda kwa Nini aingilie mausiano ya Kaka ake asimpangie mond anampenda zuchu

lelyaelmi
Автор

Jamani make up zinasaidiya mmmm hata sisemi Sana, 😀😀

aminamarie
Автор

D ajeawaoe dada zake na mama ake maana kila mke atakae muoa lazima wamchukie

siwemamusa
Автор

Eee mwanangu tafuta mume uolewe kamuacha Tanasha mpole mtoto mzuri nakushauri bora achananao

hashilalkharusi
Автор

Unamaliza wakati bure achana na, d tafuta mume wako utazekea kwa d bure

susanwanyama
Автор

That's the beginning zuchu sorry 😭😭😭😭

kahindorose