Harmonize na Kajala Nyuma ya Milango maandalizi ya Harusi yao yanukia Penzi Zitoo..! 😍😍😍

preview_player
Показать описание
#harmonize #kajala #mapenzi #jrawwtz
▶ Ahsante kwa kuwa mwana familia, wa Jraww Tz kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza..Subscribe Channel yetu ili usipitwe na habari zetu.

▶ Note:👇
Jraww Tz, ni Channel ya habari za siasa zinazohusu Tanzania. Tunajitahidi kutoa habari zetu kwa uwazi bila kupendelea wala kwa lengo la kuchafua upande wowote kisiasa.
Tunaipenda sana Tanzania, hatutahama Tanzania kwa shida ama kwa raha
Kama huja subscribe bado, tafadhali fanya hivyo na mshauri na mwenzako pia Tufuatilie kwenye social media na application zetu hapa 👇

👉Application Bomba ya Muziki na KUdownload hii hapa:

👉TAFADHALI USISAHAU KUSUBSCRIBE KUPATA HABARI ZETU KILA MUDA/DO NOT FORGET TO SUBSCRIBE TO GET MORE VIDEOS
#JrawwTz
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nyie mnaosema kajara mzee, hebu subirini muwe na umli kama wake kama mtakuwa nauzuri aliyoanao kajala, aminini maneno yangu mtakuwa nyang'anyang'a yaani choka mbaya. Namsifu kwa umri wake bado anavutia sana, tena sana tu.

zulfahamis
Автор

kajala ni mzur tuu💞💞💞 hata bila makeup

zawadithomas
Автор

Hana uzee wazee nyie wenye wivu unawasumbua mbwa nyue❤❤

RaylaElmi
Автор

Kajala wewe ni hatari umempa nini konde gang.😂😂😂❤
Duu.
Wewe dangerous women ❤❤❤😅

SalimKombo-xopq
Автор

Yule sijui posh simfaham konde nae alipiteza mda pale mwanamke hawakuendana kabisa natoka Siri watu walimcheka sana kajala ndio mwanamke wake wa kweli❤❤

RaylaElmi
Автор

Yaani ninavosikia raha nyie hamjui tu sikuwahi penda lile penzi la posha sijui posh❤❤

IreneMsile
Автор

Hivi huyu kajala sindio alikuwa akimchamba tembo?😂😂 Kweli mapenzi Yana run Dunia gonga like twende sambamba kwangu

fabianmainchanyangachika
Автор

Kadjala nakupenda sana kua tufanye harusi niko Rwanda

MurekeziDeogratias
Автор

Kajala na Harmonize walipendana sana sijui ni shetani gani aliingilia penzi lao

CatherineNzeki
Автор

hamo twakupenda broo, toa kipuli cha pua nawe kakaa, please, msalimie wifii

josephinemakumwangala
Автор

Huyu conde akiniona mimi haki ya mungu hatomtaka huyu mama tena

lovenesmaile
Автор

Bongo nyoso kweliii hiiii umri wamtumuukalie kikao kabsaa kukosa kazinapo kazi kwelikweli

MariamuJuma-tz
Автор

Shetani ningemuona ningemuzaba makofi kabisa alie tenganisha kajala na hamo😢😢😢

dianerukundo
Автор

Huyu sio mzee ila macream yanazidi kiwango

SalmaSaid-vd