Harmonize - Sijalewa (Lyrics Video)

preview_player
Показать описание
Harmonize - Sijalewa

Produced By: Wulan

Subscribe for more official content from Harmonize:

Follow Harmonize

Listen to Harmonize

The official YouTube channel of Harmonize. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.

For Bookings & More
Call: +255 652 892 317, +255 658 135 762

Harmonize - Sijalewa (Lyrics)

Huyo Ex Wakunifanya Ninywe Nilewe Mbona Simuoni (Simuoni)
Mawazo Ya Kunifanya Ninywe Nilewe Me Siyaoni (Siyaoni)
Na Ukiniona Nipo Kiwanja Nipo Hapa Kuruka Kwanja
Mara Moja Moja Navutaga Ganja Jicho Likae Kijanja
Mmh Thanks Baba God For The Blessing Am Living My Life No Stress
Music Is Just My Dream Am Chasing Ukisikia Nimelewa Ni Tetesi
Ona Ninavyo Nata Aah Na Beat Piano Za Kisasa Na Tbt
Mwendo Wa Kwaito Tunayarudi You Can Tell Sijalewa Ni Kusudi

Leoooo
Sijalewaaa
Sijalewa
Sijalewa
Me Nafanya Kusudi
Sijalewaaa
Sijalewa
Sijalewa
Me Nafanya Kusudi Tuu

(Aeee Aeee)
Siku Nikilewa Mtajua Mbona Mtajua
Mmh
(Aeee)
Kuna Mtu Hichi Kichwa Anakisumbua Siku Iyo Mtamjua
Mwenzenu Pombe Nishaacha, Kuvuta Nishaacha
Ila Mapenzi Siwezi Acha Japo Yananiumiza
Na Ukiniona Nipo Kiwanja Nipo Hapa Kuruka Kwanja
Mara Moja Moja Navutaga Ganja Jicho Likae Kijanja
Mmh Thanks Baba God For The Blessing Am Living My Life No Stress
Music Is Just My Dream Am Chasing Ukisikia Nimelewa Ni Tetesi
Ona Ninavyo Nata Aah Na Beat Piano Za Kisasa Na Tbt
Mwendo Wa Kwaito Tunayarudi You Can Tell Sijalewa Ni Kusudi

Leoooo
Sijalewaaa
Sijalewa
Sijalewa
Me Nafanya Kusudi
Sijalewaaa
Sijalewa
Sijalewa
Me Nafanya Kusudi Tuu

Na Ukiniona Nipo Kiwanja Nipo Hapa Kuruka Kwanja
Mara Moja Moja Navutaga Ganja Jicho Likae Kijanja

#Harmonize #Sijalewa #KondeMusic
Рекомендации по теме