AMBER LULU aandika ujumbe mzito, Adai anaumia sana anatamani kufa labda atapumzika

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wanamuonea sana alafu hana majivuno yuko vizur nampenda sana Amber ♥️walimwengu siyo wakushindana nao

rukiamwakinyo
Автор

Usiombe Ukumbwe na the so called #DEPRESSION👌😢

musicapprentice
Автор

Jamani lulu nampenda sana nyimbo zake tu

veeJesus
Автор

Nakufa sio kupumzika ndugu yangu kuna maisha mengine baada ya kufa tena kama ujajiandaa hapa duniani kwa kumpokea yesu ndugu yangu maana njia ya kweli na ni yesu pekee yake 🙏 chukua mda ulitafakari hili

petermichagojr
Автор

Njoo kwa Yesu dadangu. Ukijiua unaenda Jehanamu direct huko hakuna kupumzika.

tamaraeliz
Автор

Pole amber sio kila Mtu anakuchukia MAMA

sonicaghendewa
Автор

Bona amber akipost wanamtusi dem mwenyewe haobi mtu she's very good... Lakini bona wana mtusi

susanngiciri
Автор

Kabisa mimi nampenda umber lulu ananga mambo mingi aki anafanya tu mambo yake na vituko vyake lakini wana. Muonea sana

joymsupagladysijeya
Автор

Kweli kbs kunamuda inafikiaga unatamani kufa kufa😂😂😂😂maisha yenyewe magumu atari ila kufa nako kularungu uko adibasi mmh naokopa kufa allah anipe mwisho mwema 🙏

ashuraussein
Автор

God is so much lovely and beautiful my sister God love you ❤️❤️❤️❤️

immeimme
Автор

Lulu is beautiful lady what's the problem problem with my okay let's pray for her

alibembeyuswalehe
Автор

Matatizo ya kidunia 2 kuna mda unatamn ht kufa mufuatana n unayopitia 🤦🏾‍♂️pole kwake

lilianjeremia
Автор

atubu tuu huoo peponi sioo ajueee huko hakuna kumwaga mauno😁😁😁

janatahmad
Автор

Twamuombea mungu hayo mawazo yaende mbali kabisa alafu arudi kwamola wake zaidi pia itamsaidia

muanashaswaleh
Автор

sikuizi habari zenu ziko pow sana maana hampitwi na chochote

abdulmajidabdulnur
Автор

Kwenye maisha hutakiwi kukata tamaa unamkosea mungu..

pilirwambo
Автор

Anakujua kufa ashajiandaa na kukutana na mola wake au anasema tu

Fatima-svgp
Автор

Hakuna lisilo mshinda mungu wanadamu wasikutishe mkimbilie mungu tu yy ndiye muweza yote dada

sharinv
Автор

Acje akaanza kuwa Teja Mana wasanii mwisho wa tress wankuwa mateja

sharonchristian
Автор

HIVI WANAFIKILI KUFA UNARUDI HUYO NI SHETANI ILA HANA NAFASI TUNAKEMEA ASHINDWE KABISA KWA JINA LA YESU AMBER TUNAKUPENDA SANA

isunga