MAMA WEMA SEPETU AONGEA KWA MARA YA KWANZA KUHUSU HALI YA MIMBA YA WEMA KWA SASA/ INASIKITISHA

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Utapata mtoto dada usikate tamaa inshaalah Dua nakuombea sana mungu akupe mapacha kwapamoja♥️🙏

SuleimanAlly-gt
Автор

Pole sana wema mungu yupo pamoja na wewe ipo siku mungu atakufuta macho I usikate tamaa Endeles kumuomba mungu

happymuya
Автор

pole sana dada Wema
Na familia nzm
Mungu akutie nguvu
Usikate tamaaa Mungu yupo

EstherJerald-tcct
Автор

Mama wema wewe ni mama tujikaze wewe na sisi tujifunge na maombi kwa kumusaidia wema mi ni fans wa wema kama wanachukia lakini Mungu anampenda achana hiyo historia achana nayo tumuombe mwenyezi Mungu atamsaidia hiyo ni ombi yetu ni Mungu amrehemu wema wetu

elizabethmukeba
Автор

Tatizo binaadam mnajitangaza mitandaoni kila kitu maishayenu mnayatangazia, wakati mitandao haisaidii chochote bali imejaa fitna na hasadi, vijicho vyawatu midomo yawatu, sasa aache yy mwenyewe kujitagaza kwa maishayake.

nibiziasiya-ghqd
Автор

Mimba Zina Siri unapo jariwa kupata mimba unahitaji Siri mkubwa hatusemsgi.manake huewezi elewa mbaya ni yupi Sasa kidogo mitandaani mbaya sana ni hatari sana unanyamaza watu watajionee mda ukifika

LeonardinaBakuza
Автор

Nenda.ustawi. wa jamii kachukue mtoto ulee mbona ni sawa tu

AdiaAhmad-so
Автор

Lahana ya wtoto wa kanumba amewuwa hapo paka kifo hatapata mtoto

alish
Автор

Atoe thabiu ya kujitenganisha na hiyo Raha na ya kanumba prz.

BecylennaNjeru
Автор

Mtu unapo beba mimba usiseme wala kupost sio wote ni wazuri kabisa

salmakiti
Автор

Akatubu na akapandikize kariuki hospital

marthadominick
Автор

Sala ya toba, let her break all the covenants she did with her ex's boyfriend, will answer her prayer...

RoseKillian-bk
Автор

Ukisha shika usiwe unautangaza biaadamu. Siwatu basi sio mbaya wewe nizazi

AdiaAhmad-so
visit shbcf.ru