Rude Boyz - Yahitaji Makini

preview_player
Показать описание
Ukikumbuka enzi hizo? Hii nyimbo ilikupata wapi na inakukumbusha nini? LIKE, COMMENT AND SUBSCRIBE
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

gonga like kama watoka Mombasa 2020 ngoma bado yahitaji makini 🙌🏽

ahmadansar
Автор

Natafuta ile song ya mr deejay cheza ino song

GabrielBayah
Автор

Enzi za F2 Florida Mama Ngina drive Sunday Service hakuna kukosa kikosi cha 2004-2006

Mimi-wpbd
Автор

Wale wa Migori county mko dem days club danger zone 2008 hadi 2013 zilikua ❤‍🔥🔥🔥🔥

richardokelo
Автор

Nilipoteza ubikira wangu sababu ya nyimbo 😂😂😂😂wakati huo yani wee acha tu

aishaabdulrahman
Автор

HERE IN 2022 FROM KENYA STILL LISTENING TO THIS GREAT HIT THAT BRINGS BACK GREAT MEMORIES

collinswanyonyi
Автор

Nice Nostalgia about my first girlfriend 2006 Jacqueline ❤❤

CHRISTOPHERDENIS-ps
Автор

Wale tuko hapa 2021 watching this legends let's gather here ❤❤❤❤001

michellewangoe
Автор

These songs elevated coast so well in Music industry, the likes of fisherman, susumila, escober babake, gogolo, rewez, manabii, rubeez.

amanimbetsa
Автор

Hawa ndio waimbaji acha hayo ya sku iz 😢

sawmu
Автор

Rude boys mko wapi jamani rudini tena, likoni massive we still need you guys ❤❤❤

milkahadida
Автор

Ivi nikihitaji download hizi trucks za hawa wasee nazipataje

abutwalibmzungu
Автор

Good memories of me ❤️ good work Rude Boyz. 2023 here we go 🔥

wybzokizzy
Автор

Makes me remember 2007 nikienda shule ilichezwa kwa mat kila asubui kiambu town🎉

ditok
Автор

Rude boys mlipotelea wapi after kutuojesha hii ngoma tamu.

einastykasola
Автор

Mziki wa Mombasa daaah, wako wapi wasanii kama hawa siku hizi 😭

eastzooadmin
Автор

Woow I like this gold song explore industry music

kevinpeter
Автор

Wakati huo Disco vumbi ilikua juu Tu Sanaa haki tuli enjoy na hizi nyimbo

GraceKadzo-nz
Автор

Killian Mumbua, am still looking for u, good old days... '...kila saa nashika taama.. eish

kavostenatty
Автор

Vitu kali..
Mambo makali.. #Rudeboyz# 👏👏👏👏👏

chriswamalwa