Hiddenbway - Mabaya ya diamond (Official acoustic video)

preview_player
Показать описание
#enjoy #diamond #jux #clamvevo
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wambeya tume kama tika nime kuwa na subiri ubuyu ume ni weza congratulations 🎉😂😂😂❤❤🎉🎉

Alainmarley
Автор

Dah nyie mnajua sana kumbe na huku pia mpo .aisee imependeza sana

ZakiaMwakanyanga
Автор

Hp ndo najua diamond ni content Hpa Africa wengi wanaomsema simba wanatafuta Kiki hpa mjini

AmourHaroub-lvll
Автор

Mim nae mumbea sana ety nikawa makini sana kuskiliza kaka umeniweza 😂😂😂😂 upovizuri sana

Reylanny
Автор

Diamond hii ni kali maana kweli tunapenda kujuaya watu

SabrinaLilian-zj
Автор

Kesho nayenda kugushtaki 😂😂
Ila umeniweza 😂😂😂❤❤❤

NaseebMustafa
Автор

Umetusuta kweli isey 😂😂😂much love from 🇱🇧🇱🇧

Vela-qf
Автор

Nilkuwa makin kusikiloza mabay ya mond duùuuuuh aibu naon mie😂😂😂😂😂🎉🎉

RehemaSilvanus-kb
Автор

Kidogo tu nisanuke Sema ndio ivyo napenda umbea

YohanaMapengo-djfx
Автор

Haupo serious Yan nakaz en mmekosa ubunifu mnatuimbia Sisi wakat tumesha waamin kama mnajua imbien intention global whay mnaimba vitu kama iv ujinga mwing sjapenda 😂😂😂😂🙌🙌

festovenas
Автор

Hahahahaha kijana wangu nimecheka Sana kaka Ila safi Sana ndugu yangu kazi nzuri

ZUMBAVEVO
Автор

daah unajua kuandika mistari komaaa tu one day yes broo

mesuclassic
Автор

Nmeipenda hio, , good attention, 😂😂❤❤ big love from kenya, 🇰🇪💞⛵⛵🛥️

jamesmutua
Автор

unyama sana wabongo ndo tunapenda mtu asemwe god job

ramboiddrambo
Автор

Wee jamaa unatuenjoi et ila nakupendaje

Harbeatsflmobile
Автор

I think Ako na talent ya kwamba anaweza kuganya vitu vya maana kuliko hii

N.Ricky_Glm
Автор

Nipe korabo big misondo anajua uwezo wangu nipo kitunda

zagambatz
Автор

Hahahaha jamani hiddenbway kama nihivi utafika mbali

BennyMusic-fnqz
Автор

Ume uwa sana nilitaka sema una taka nini kwa mondi

themicbandforeveryone
Автор

Huyuu mtoto mshenzi sana kafanya nasikiliza kwa makini sana alf mwishoni anazingua ila acha2 niongeze subscribe 😂👐👐

rayderofficial
welcome to shbcf.ru