Tanzania yachaguliwa kuwa nchi ya kwanza Afrika kufanya filamu na Korea Kusini

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ingekuwa kiswahili angeongea Steven Nyerere 😎😎

shdm
Автор

Hongera kwa Idris Sultan kuchapa kingereza swafi. Wasanii wajifunze lugha inasaidia hata kusaini mikataba

Papaa_Hillary_Mrema
Автор

Wehusi ni😂nyani tu nishasema nami nikiwemo

frocoissango
Автор

iddy na x wake x anachekelea tu kusikia sauti ya iddy unazani badae nini kinatokea 😁😁

starjay
Автор

Stivu hadi wachina wanakupita urefu😂😂😂

CreyMomo
Автор

Itaewoon class is also my favorite kdrama❤

mohamedlegacy
Автор

Wapi we lee min ho na gabo I akutane wakimtaka mwanamke mmoja 😅😅😅

SelemaniEmail
Автор

Yan sisi tunafurahi kufka hapo lkn sio kwa umaarufu ni kwa mchongo tushapigwa za uso hapo, ukiona sehemu hapo Nigeria na S/Africa wajafka mjue sisi tumeibiwa pakubwa hyo ni vumba macho tu 😢😢

edwardlesian
Автор

Achatu nikoment vingine 😂 Wema na Idris si mrudiane jamani?😢

Sidrasidra
Автор

Shida mnachagua hao wenye majina mnaacha vijana wenye uwezo uwezo na hisia za kuigiza wapo Sasa wema na kasauti watakua wanamuwekea Mac mdomoni make anabebwa sana

nzitogondwe
Автор

GPS huu ni upuuzitu anayekuibia lazima akubembereze .Tanzania niwazembe kweli tunapigwa upofu kizembetu

jonfredkewe
Автор

Nadhan wamechaguliwa watu sahihi..Mariam Ismail cjamuona hapo🤔, I wish angekuwepo nae

isihaqkerdehaqker
Автор

ukiona Nigeria/SA ajafanya lolote na hao jua sio pesa ni mchongo.

kwisa
Автор

Mbona atuoni film tunaona pictures zenu au ndo film hizo 😂

tomsijohni
Автор

Huyo nyerere na wema wameenda kufanya nn sio kama waigizaj, hapo waigizaj wawili tu Anna na gambo Hao wengine wamekula tu pesa za serikal na ambazo awangemsaidia yule mwanafunzi, mlemavu akaenda shule

peninashungu
Автор

Wema ana tikisa kichwa sijui kama anaelewa 🤷🏾‍♀️

DomisianPeter
Автор

hii ni baada ya kuwapa madini na bandali!!

husseinc
Автор

Tanzania bana yunapewa sifa za kijinga sana alaf tunafurah wenzetu wanavumbua vifaa mbalimbali ww inafurahia maigizo

maulidimpili