Bensoul - Nairobi ft Sauti Sol, Nviiri the Storyteller, Mejja (BTS)

preview_player
Показать описание

VIDEO CONCEPT: Bensoul & Roadman
Directed by: Roadman
Edited by: Rodney Wachira
Produced by: Tom Olang'o
Executive production Sol Generation Records

FOLLOW BENSOUL ON:

NAIROBI LYRICS

Habari mbaya zimenifikia
Mandugu zangu wananikulia
Kumbe sahani yangu ni sinia
Na inaniuma sana

Yule mpenzi niliaminia
Nikamueka mbele ya dunia
I must be trippin nikikurudia
Umenitesa sana.

Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tunashare
Ogopa sana

Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tunashare
Ogopa sana mama

Marashi yako yalinivutia
Siku ya kwanza ulipopitia
Kumbe si mi pekee nilinusia
Yolanda ya lavender

Na mbogi yangu iliniambia
Eti nikusare but sikusikia
I don’ wanna do this shit no more my dear
Najuta kupendana

Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tunashare
Ogopa sana

Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tunashare
Ogopa sana mama

Gonga, gonga like x4

Rieng, rada
Siku hizi madame ni blanda
Jana cuzo alimkaza
He’s family, ah ah
Get together kwa bed
Hio story tumekataa
Maboy wengine blanda
Watakukulia mama
Na wakuchekeshe sana
Madame madame, eh
Madame wa siku hizi
Wana machali wengi
Nilichapa mmoja juzi
Ikaingia ndani, dive

Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tunashare
Ogopa sana

Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tunashare
Ogopa sana mama
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hadi behind the scene bado inabamba🔥🔥🔥👌

mejjahjohn
Автор

Gonga like... Gonga like ya Mejja, Bensoul, Nviiri, Sauti sol na bts crew yoooote...Kenyan Music videos being taken to another level👆🏿👊🏿

dennisgitchier
Автор

I was really waiting to see Bensoul kwa hiyo karai akioshwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

ireneshahmz
Автор

I love the way Melody Mwangi speaks. Damn🔥 Much love from Uganda 🇺🇬

bashmutumba
Автор

Si mnajua Tu Watu wangu😂😂😂😂Likes za Meja hapa👊

BHaRts-msor
Автор

Rudisheni reality show 😢😢 we miss u guys

mariamuthoki
Автор

Bensouls laugh is a banger ..😂😂😂😂😂 and how he narrates things..aah, inauma lakini ukweli utazoea..😂😂😂

njerimugane
Автор

Bensuda aka bensoul kumbe sahani yangu ni sinia

branzentertainment
Автор

*TAFADHALI KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAKUOMBA ANGALIA VIDEO YA WIMBO WANGU MPYA KWA KUGUSA PICHA YANGU HAPO PEMBENI LAKINI PIA NAOMBA SUBSCRIBE KWENYE CHANNEL YANGU ILI NIWEZE KUMONITIZE CHANNEL YANGU HII*
🔜🔜🔜🔜🔜

Emmamusiccmb
Автор

This right here is beautiful to you guys....much love from Ghanan

princebanini
Автор

Who else was waiting for this 😅🌹😍😍😍happy valentines everyone

AceTravis
Автор

The shorts guys one love guys we love you too♥️am happy for your experience with onkwokwo and the others♠️blessed

geemwangi
Автор

Enyewe hiyo set ya kukula ndio naweza "act" vizuri

deborahnjeri
Автор

before we reach a million views am here for it, love wins

maryannwanjiru
Автор

Bensoul is so unique..✨I listen to this song daily

lorianmatanda
Автор

I am a different type of black man, i do not follow this society i just contribute my part, it put so much joy in my heart when i see black people doing beautiful things and enjoy their selves, i do not support any artists who makes time for beefing when they can volunteer to help young kids or fathers who dont support their kids, so to all of you in that video and every other artists i support and applaud you, one day i will rest in Africa, so God help me this is my last dream

ralphwhitaker
Автор

Used to be a fan of sauti sol bt with this kind of creativity am now an air conditioner

ryanshitakwa
Автор

Wow amazing but hamogopi corona no masks nada! hivi ndio 3rd wave ilikuja na ubaya

violarono