Kazi za kulea watoto kwa wiki dolla $900 sawa na million 2.5 kwa mwezi mwezi million 10. wow 😮 pt2

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Naomba msaada unitafutie hiyo kazi plz🙏🙏🙏

Tegemea-bynp
Автор

Kaka great job nakubali unafanya reality no blabla Mungu akubariki give as lesson

zubeirmwaeshu
Автор

Dulla unajua mpaka nakuombea aisee mungu akutunze

ValetineLubeja
Автор

Kwel kaka unatufungua Sana wenye mioyo ya uthubutu

paschalmalumbo
Автор

Umetisha brother soon tunachekiana bro

boscopatrick
Автор

Dnyota ee usijali endelea kupambana kwa sababu msafara wa mamba na kenge wamo wee mi naweza kukuita mzalendo.

davidephraim
Автор

Vp kuhusu social mzee? Kazi bila social inawezekana?

noellazaro
Автор

Tuelezee procedures za kupata kazi. Ndio kazi zipo pesa ipo pia.

noellazaro
Автор

Dnyota umenyooka mno maana unafanya kitu kiuhalisia kabisa, kabisa... unagusa wale watu wa hali ya chini kabisa ili wajikwamue ...chukua 🎉...

AyoubAbdullrahmanAmir
Автор

bro ao wanaongea shit kuhus ww achana nao

lahdadibrahim