Mungure azungumza baada ya Katibu wa Kata kuchomwa visu

preview_player
Показать описание
Mungure azungumza baada ya Katibu wa Kata kuchomwa visu
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Muda wa kulalamika sasa umekwisha sasa tuchukue hatua.
Haiwezekani Chadema tunachinjwa hadharani halafu watuhumiwa hawajakamatwa hadi leo.
Polisi acheni kulinda wahalifu mnaipeleka hii nchi kubaya

rosemoshi
Автор

Kulalamika SASA basi, shine shime jamanii

salumjumaruhaga
Автор

Huu upuuzi hadi lini?RPC Wambura ataweza?😭😭😭

bonnyngowo
Автор

Nyie nao mbwai mbwai na nyie kamatenj msenge mmoja mfanyie kitu mbaya

salumjumaruhaga
Автор

Polisi angalieni mambo haya tutachoka tutachukua hatua mkokoni nchi haitakalika.

claverymayango
Автор

Mhalifu anakimbilia gari la polisi? This is unbelievable 😭😭😭😭😭

bonnyngowo
Автор

Polisi wa Tanzania wamekuwa Wafuasi wa chama sio walinda Raia na Mali zao

emmanuellobelo
Автор

Hvi ikiwa Kila mtu atachukua hatua ya kuchoma visu SI tutakuwa Somalia

emmanuellobelo
Автор

Serikali iwe makini kudhibiti maswala haya kw sababu Kam mtu anapigwa kisu na mwanachama wa chama Tawala ccm, polisi wapo karibu wanatazama tu na viongozi wa kitaifa wa chama Tawala wanayasikia yote na hakuna hatua inayochukuliwa, sisi Raia wa kawaida tutahisi Nini? Automatically tutahisi kuwa hatuna serikali Wala ulinzi isipokuwa tunao wapiga Kodi zetu tu ! Samahani lakin kw hilo

emmanuellobelo