ASHA BARAKA AWACHANA ALICHOKI NA MUUMINI/WASINGE PANDA NGEGE BILA MIMI/NAACHA MZIKI WA DANCE

preview_player
Показать описание
#wasafi #refresh
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hakuna ubishi, mama Asha Baraka ni jina kubwa hapa nchini!!!

jumakapilima
Автор

Kwa Tanzania huyu Mama anastahili heshima kubwa sana kwenye burudani ya music.

sikudhanimachaku
Автор

Kama umeona wasafi wamekosea kuandika ndege like hapa wazee wa ngege

hamzaadrin
Автор

Mama aliyekuwa na jina lake kubwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 mpaka miaka ya 2011 mwishoni, Mama Asha baraka, anastahili kuheshimiwa, bila yeye wabongo tulikuwa tumetekwa sana na bolingo za kongo, yeye ndiye alileta ladha ya muzic wa dance TANZANIA.sasa anapochafuliwa ataachaje kupanic?

nikitadiamorelivingstone
Автор

Asha Baraka, hakuna ubishi ni jina kubwa ktk tasnia ya muziki wa dansi hapa nchini!!

jumakapilima
Автор

Mbona phovu mama Asha comedown mambo ya kiki ayo

darlosontawi
Автор

Mama Asha ulimsema sana Choki, hutaki afie kwako, anatunga nyimbo refu kama treni, umesahau kuwa Choki amesaidia sana mafanikio ya Twanga, sasa hayo ni matunda yake.
USILIE MAMA.

issaajgar
Автор

mama kaongeya vizuri kila mutu anasaidiwa tu Diamond amesaidiwa hapo nikweli tusaidiyane.mama barikiwa mama

rayanndizeyes
Автор

Mama Asha, Choki na Muumini nimewaelewa, uwo ni mpango wenu.

issaajgar
Автор

Dunia na Akhera, mshukuru Allah kuwahi mpaka leo, ba kilichibakia utakwenda nanini, kwa mola wako, jiandae ss, hujachelewa, uzuri dini unaijua naamin hivyo Innsha Allah wepesi utapatikana kurudi kwa mola wako

azizam
Автор

Huyu mama kila siku nahojiwa mweeee hamna wasanii wengine mnafel

merinadaimon
Автор

Nimecheka mimi hadi basi duu mama asha nimekupenda bure

sharifaabdullah
Автор

Asha Baraka alikua Boss wa wafanya mziki wote wa Dance Bolingo Tanzania, miaka ya 1994 hadi 2015, vile vile ni Boss wa Twanga Pepeta.

TradingPHD
Автор

arafu hii chaneli inauchonganishi sana angalieni watu wanaojitambuwa

amisindondi
Автор

Kweli choki aliongea vibaya ata mie sikupenda japo ni from Burundi

adijaniyonkuru
Автор

Kweli mama wamesahau walipotoka hao lakini kiuhalisia wamekuvunjia heshima sana.

salummuhija
Автор

Kawaida Mama Binadam Hana Shukuran
Tenda Wema Uwende Zako
Hao walishapitwa na Wakati Walikuwa wasanii saizi Hao Wakongwe wa Sanaa

jackmabirangacharles
Автор

ASHAA BANA,
naona wasafi mnatengeneza bifu ili kuirudisha dansi kwenye headlines, nawaelewa

mwasakafyukasamson
Автор

Mama amepanic kweri wasanii hawajitambui wamemkosea adabu sana.

sikudhanimachaku
Автор

Mama kama kapanic ivi😂😂😂😂
Diamond jamani saidia🤣🤣🤣

KMLotin