HATUWEZI KUWARUDISHA WALIIONDOKA, RAIS ATUSAIDIE/ WAMETUIBIA SANA, SILIPWI - ASHA BARAKA

preview_player
Показать описание
Mkurugenzi wa Bendi ya Muziki wa Dance Twanga Pepeta Asha Baraka ametuma maombi maalum kwa Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli katika kuunyanyua Muziki wa Dance na Kuurudisha kwenye Anga za Juu Kama Zamani na wao waendelee kufanya kazi kama zamani na kuweza kuendesha maisha yao ya kila siku.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Yaani hapo ukiweka Ferguson, chokoraa, kupaza, dogorama, isinike basiii sherehe itafana

danielnella
Автор

Mara mmempa mara mmeibiwa sasa mnatuchanganya, mlipeana kwa makubaliano yepi ?

smarty
Автор

Duh 😥😥😥😥😥😥 mmezeeka jmn na cream zinachangia

beautywithnay