Ally Kamwe aachia ngazi kazi ya ukocha 'Team Dickson Job', kisa hiki hapa

preview_player
Показать описание
Licha ya ushindi wa penati 4-2 dhidi ya Team Kibwana, Nahodha wa Team Dickson Job ameeleza kutoridhishwa na kiwango cha kocha wake, ambaye ni Ally Kamwe, jambo lililosababisha Ally Kamwe kutangaza kujiuzulu nafasi hiyo LIVE mara baada ya mchezo uliopigwa kwenye Dimba la Jamhuri, Morogoro.

FT: Team Kibwana 2-2 Team Job (Pen: 2-4).

#AzamSport2HD #WapeTabasamu #MechiYaKirafiki #MechiYaHisani #UzaziSalamaKwaKizaziBora #TeamKibwana #TeamJob
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Naungana na Dogo Aly Kamwe🤣🤣 job hujatoa lugha kulingana na maana halisi ya Mechi yenu! Ulitakiwa kutumia lugha ya mpira

kisinza
Автор

😂😄😄😄😄😄yani hadi raha kwa matani yenu nimependa sana iyo ila kocha katoa maamuzi ya fasta hataki mchezo 😂😂😂😂

othmanali
Автор

kati ya kocha Ali kamwe na andazi munachaguwa nini?

abdullymaruzuku-uyrb