Galilaya Central SDA Choir(GC)-Sheria. (Official Video)

preview_player
Показать описание
Zingatia maneno saba tu katika wimbo huu utakuwa umeelewa wimbo wote.
Tungejua vipi DHAMBI bila kuwepo SHERIA ndipo NEEMA ikashuka ikaletwa na MWOKOZI na hiyo INJILI yake yeye aliyokuja nayo MWOKOZI ikatengeneza KANISA na WACHUNGAJI wahubiri.
Hitimisho ni kwamba twaokolewa kwa neema yake Yesu Kristo,bila kupuuzia sheria yake Bwana maana sheria inaonyesha dhambi zetu na neema ya Bwana inatuokoa.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kwanza hamuna mambo mengi sana hamsuki hamjipambi sana kweli nawapenda sana

howhxpf
Автор

Naisubr kwa ham sheria kutoka galilaya

piusmwandu
Автор

Wimbo mzuri, fundisho bainifu la wimbo, mavazi yapatanayo na uchaji Mungu wa kweli, muonekano wa kicho. Basi ashukuriwe Mungu aliyewaongoza kufanya hivyo, maana suala la mavazi ni upepo mkali sana unaosomba wanawake wengi jehanamu. Waimbaji wanaovaa kama wa kidunia na mapambo ya nywele za bandia, ni mawakala wa kuwafukuza waislamu wasione kuwa ukristo ni dini ya adililifu katika unyenyekevu wa kweli unaowezekana kadri ya ufanywaji upya wa moyo kupitia neema yake. Maadui wakubwa wa wapagani na waislamu ni wakristo wenyewe kwa mienendo yao miovu isiyopatana na utauwa. Ashukuriwe Mungu Baba na Bwana wetu Yesu Kristo aliyetiwa Muhuri na Baba afaye upya ndani yetu. Neema iongezwe kwetu katika kumjua ipasavyo ili walio nje ya Kristo wasione makwazo kwetu.

willymwaipaja
Автор

Mvp hongereni kwa nzuri.picha nzuri, (mpangilio) mwonekano na n.k

johnsonjuliusmassaka
Автор

kwanzia nywele, long dress, white attire, utunzi na ubunifu WA kipekee, Mungu awahifadhi na awinuie siko zote za maisha na mzidi kumtumikia

thomasasiago
Автор

Get blessed wimbo mzuri, inspired by you spread the gospel

riockychacha
Автор

Waoooo wimbo mzuri sana hauchoshi kusikiliza, Mungu awabariki sana.

monicamtenga
Автор

Amina; Barkiweni sana watumishi WA Mungu Kwa KAZI NZURI na NJEMA.
"Kwa pamoja we are one in the family of God"

IssackMhandi-qxxv
Автор

Amen and Amen. Twaokolewa kwa neema bila kupuuza sheria...

releiabby
Автор

Napenda wimbo Huu sana..mbarikiwe waimbaji

rutharanda
Автор

KAZI zenu ni nzuri Sana MUNGU awalinde

elwinmlaponi
Автор

Mungu awabariki sana, mzidi kumuinua Yesu watu wote wamwone 🙏🙏

rosemsemo
Автор

Wimbo ulio na mahubiri tosha, hubiri kamilivu.

meshacknyabasa
Автор

Barikiweni Sana Kwa kujitoa kwenu kumtumikia MUNGU 🎤🎶🙏

ZacharyNyaraja-oznh
Автор

Your songs are so blessing and encouraging....keep the fire burning

reubenshikulu
Автор

Huu wimbo wa kiinjilisti kabisa huu, mbarikiwe waimbaji

edwardmlay
Автор

Hata mimi nafurahi sana mnavyomwimbia Mungu kwa furaha na Amani. Mungu awabariki mno mno
Ni kitu cha kuigwa

loycep
Автор

Galilaya nawapenda sana Mungu awabariki sana kwa mahubiri yenu jina la yesu kristo liinuliwe

bellimarwa
Автор

Mbarikiwe sana wapenzi.Mungu aende mbele yenu

EstherMayenga-ohwg
Автор

Hakika Mungu awabaliki kwa huu ujumbe mkali.Kwa ukweli injili imesambazwa Kila pembe la dunia.

zablon-bphe