TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA JESHI LA POLISI PWANI

preview_player
Показать описание
Oparesheni za Mara mwa Mara zilizotekelezwa na Jeshi la Polisi mkoani Pwani kwa nyakati tofauti kuanzia January hadi Desemba Mwaka huu wa 2020 zimewezesha kupungua kwa Makosa ya jinai kufikia 1791 kutoka 2189 kwa mwaka 2019.

Hayo yamebainishwa leo Jumatatu Desemba 29 na Kamanda wa Polisi Mkoani Pwani Wankyo Nyigesa wakati akitoa taarifa ya utekelezaji wa majukumu wa Jeshi hilo kwa kipindi cha mwaka 2020 na changamoto zilizojitokeza,wakati akizungumza na waandishi wa habari wa Mkoa wa Pwani.
Рекомендации по теме