Vitali Maembe Afrika - KUDU

preview_player
Показать описание
Video ya wimbo wa Vitali Maembe - Kudu 2015
Kuhusu wizi wa mali na Fedha za Umma
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama unaamin huyu jamaa ni fundi na mpiganaji gonga like ya nguvu twende sawa

maryamkyando
Автор

Dunia aitaki ukwer japo waelev wachache tunaitji kuupat ukwer wanalasimisha uongo kuwa kwer
WANASAHAU
Ukwr upo kwa sabab kuna uwongo
kama
si uwongo ukwer usingekuwepo
asant kaka vital maembe natambua kazi zako nzur

bashirumandwanga
Автор

2020 nimerudi tena kupata hamasa ya uzalendo kutoka kwako Vitali Maembe

josephbenardmjengwa
Автор

Not enough credit is given to this guy...but he is one of legends in East Africa music.

mossesrichard
Автор

Ulipokuja DUCE nilikupata vyema sana mwamba

mohamedmwanyalisya
Автор

sauti yako ni kwa wanyonge kama sisi ila wanajifanya hawakusikii na kukuita majina tofauti ila wewe ndy Msanii.

channeltv
Автор

Kudu..kudulia umande masika aikuduliwi..mkali wangu huyu.

simonnembomadola
Автор

Kuduuu
Kudu kudu kudua
2024 bado nasikiliza

mgobanyapazi
Автор

Am your fan from Rwanda we met in Arusha at YOULEAD conference keep the talent

dtv
Автор

Pole sana mkuu na Hongera kwa kazi nzuri

philipogabriel
Автор

Yeeees wachane kabisa waelewa kuwa tunajua ila hatuna msemaji

samwer
Автор

Very talented, we love you here in kenya

wezeshayouthKE
Автор

Kaka albam zako unauziaga wapi?maana nakusikiaaga tangu niko darasa la pili na nyimbo kama sumu ya teja, kulwa toka na doto atoke, na bahati mbaya siku izi TBC Taifa haichezi nyimbo zako tena, nilizoea kusikilizia Redio Tanzania Daresalaam.

stephenfayu
Автор

Wanafaidika wao pamoja na jamaa zao na familia zao. Bila ya maneno kudu watafaidika sana,

ramamuya
Автор

Walio toka twita baada yakusikia huwimbo tujuane apa

julietraymond
Автор

For inspiration, I come here and listen to tis legend.

mercygichengi
Автор

Wow! Hii ni kazi nzuri sana sana ya fasihi. Very few can understand this

gatigati
Автор

real recognise real...good music always live....

suphianiathumani
Автор

Si ulongo, kaka Vitalis Maembe, tumepigwa changa la macho....Kunta...Kinte.

websterkinte