Country Wizzy ft Seyi Shay - Bado (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
From The Father Ep Track No 01. Country Wizzy ft Seyi Shay - Bado
Song was produced by Ammy Waves from Tanzania

Most of African Kids who Falls in love end up being disappointed because of being Poor.)
In this Song Country Wizzy stands As An African Kid who is from Poor Life but He is in love with the Girl From Good Family(Say Shay).
The Girl (Say Shay) Is willing to take care of the Poor Guy by all means coz she is in love with the country wizzy.

Available In All Digital Platforms

Contact: + 0787 378 575

Follow Country Wizzy

Listen to Country Wizzy

The Official Youtube Channel Of Country Wizzy. Subscribe For The Latest Music Videos, Performances, And More.

Lyrics:
Intro
Yeah wooow uuuh woouu wooouu

Verse one
Oh my God she So Fine
Simu yangu imejaa picha zake tu
A'be thinking all night
Na ninataka kua na ye yeeeyee
Ila kwa lifestyle yangu simuwezi
Ila nataka kua na yee yee yeee (yaa booy)
Bt she dont know yee she dont know
Kwajinsi navompenda yee she dont know
Sijui atakubali mi i dont know
Kwa jinsi navompenda ye she dont know

Chorus
Anapenda kwenda Movie Me (Bado)
Beach,Boats ana cruise Me (Bado)
Anaogea kwa jaccuzi Me (Bado)
(Bado) (Bado) x2

Verse Two
Seyshay intro
Yeleee yeelee yeleeeee iiiiiih
(Bado,bado ooh baby)
No matter who you are i will be there for you
Amini kwako sijiwezi everything i will do for you
See i dont need your cars,or your money or your house got my own
I just want your love baby come give me some
If laying next to me (laying next to me)
Baby you are the only one i need (your the one i need)
Moyo umezama kwako (baby)
Nimeridhia shida zako (baby)
Nitakupenda peke yako (baby)
Nitapigana vita yako (oooh ooouuu)2

Chorus
Anapenda kwenda Movie Me (Bado)
Beach,Boats ana cruise Me (Bado)
Anaogea kwa jaccuzi Me (Bado)
(Bado) (Bado)

#CountryWizzy #Bado #SeyiShay
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Huyu mwamba anajua kupangilia sanaa nyimbo like zenu plzzzz 😭😭😭

mossesgadiye
Автор

Naombeni like jaman tafadhar kwa niaba ya country wizzy

rsquare
Автор

Ng'ombe wew kumbe unajua kuimba nyimbo tamu ivi maaluniii

mkojanifilm
Автор

Wamakonde Mmekuwa Trending sana Hizi Siku, Kazeni sana SADALE Hapendi Haya😂😂

lyrics_forum
Автор

🔥🔥🔥🔥🔥 Tm konde from mtwara leo like nataka hata 100 tm KONDE 🤜🤛🤸🤸🤸

asadibakili
Автор

Gonga like kama hili goma unaskiliza baada ya country kuondoka
Konde gang!!! Tenah

gredsontz
Автор

Team Contry wizzy Tujuane Hapaa aisee Kuptiaa like

elisharobert
Автор

But she don't know kwajishi navo mpenda she don't know. what a masterpiece who's here 2024❤

Lilmbunah
Автор

Mwaka huooo
Like hatuombi zikija fresh zisipo kuja fresh2 #KONDE. GANG 4 EVERY BODY

farajimnyaki
Автор

Sisi sote team kondegang naomben like zenu jaman🙏🙏

iamabdul_omary
Автор

Konde Gang tunasonga tunahit kila mahali hasa wapinzani wajichunge sanaaa

raymondjunior
Автор

Nipeni LIKE kama mwakauu..👍👍 niwa KONDEGANG FOR EVERYBODY 🔥🔥🔥🔥🔥

sbdiamondsisters
Автор

Wapi like za father wiizy konde boy4 lifee hii ngoma unaweza ukala ugali bila mboga na ukashibaa vzr tuu Ina ladha flanii amaizing saanaa seyi shay kaua humu nayee

sylivestermwasile
Автор

atakae koza la kusema lazima akune akili japo akupe congrats

kazi nzito na BADO

utaenda FAR AWAY
usisahu we mtoto wa TEMBO
from 254 (023) represented
#onelove

hadidimax
Автор

Muziki mzuri team 🔥🔥#countrywizzy x #kondegang tuonyeshane ❤️ hapochini
👇

dutchsafari
Автор

Jaman naomben like 5 Za father from Rwanda

nasryabdul
Автор

Baba na kukubali toka jadi na uliweka ahadi hutotufeli, na umefanya kweli..ngoga likes kwa Wizzy

vivecochieng
Автор

Daaaah me cna like hata moja 😥 saw bana huenda sio riziki

chazyteshakimaro
Автор

HAPA NDO NMEEELEWA KWANN KONDE BOY KAKU-SIGN KONDE GANG
Shout-out sana

shallercunzeer
Автор

Katika wasanii wanao fanya hip-hop na ambao wamefanya nianze kuipenda ni wizzy father. 🔥🔥🔥.take this game to the world wide 🌍.naamini ipo siku utakuja kueshimika zaidi ya apo wizzy this is your talented thanks for this good song oyaa kimewaka

ommyjtz