WAUMINI KKKT KONDE WAFUNGA OFISI ZA KANISA, POLISI WAFIKA ENEO LA TUKIO

preview_player
Показать описание
WAUMINI KKKT KONDE WAFUNGA OFISI ZA KANISA, POLISI WAFIKA ENEO LA TUKIO

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113

LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻

Follow Us On:

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

"Ndugu watafarakana wao kwa wao". Mungu tusamehe waja wako. Tuoneshe njia ya suluhu iliyo njema. Amen

sadockchengula
Автор

Kweli kabisa afande waende kwenye shughuli za uzalishaji, wanadanganywa na viongozi waroho halafu wananchi ndo wanaumia Bora waondoke waende nyumbani ✊

theresiakaruhanga
Автор

Afande nakukubali zaidi hapo mwisho ulipokazia, big up 😀💪

menansmoses
Автор

Hivi waumini mnapo amua kuachana na kanisa flani si ni kuhama na kuacha kazi ya Mungu iendelee kung, ang, ania kanisa siyo Busara na viongozi wa makanisa na nyinyi punguzeni tamaa fanyeni kazi ya Mungu ipasavyo Mungu awabariki wote na kuleta Amani

geoffreymugala
Автор

Yule mzee yuko wapi jamani aliekataa kabisa kuwa kkkt ibaki.mnitafutie nimpe zawadi amepigana kiume na kiroho .asingepiga kwrere kanisani ingepita hiyo

julianamasato
Автор

Hongera KAKA hamna mwenye kanisa huyo Mwambola na mwaikali dawa Yao imetimia

davisshao
Автор

Nasubiri Neno kutoka Kwa Mbarikiwa Mwakipesile mchungaji pekee mwenye kuihubiri kweli

allennkili
Автор

Itafiika hatua tutasali majumbani wakristo tuenda wapi jamani

nicolastitus
Автор

Wanyakyusa na kanisa letu oyee, apo nlkua nasali zaman ni kkkt dayosisi ya konde uyo anaetaka kulete mfurugo mwambieni ata furugika

fedrickeliezer
Автор

YESU MNAMSAHAU MNAHUBIR DINI YANINI NDUGU ZANGU HUU UGOMVI NI AIBU KUBWA MNOOO FUMBUEN MACHO SISI SIO WALEV

maandaliobandmbeyatz
Автор

Duuh tunaelekea wapi jamani, Mungu aingilie kati,

upendongailo
Автор

Bado hamjaelewa lengo la mapadri ambao wanatoka nje kuingia TZ Mana yao mpaka dini mnagombana? fikirieni chunguzeni vizuri mtaelewa Amani Amani watz msidanganyike

aminaabdallah
Автор

Mpaka askali anamifukuza kama walevi jaman dini hiz zinampoteza kristo zina shindania maneno ambayo kwenye bibilia hayapo WATU WANGU WANAANGAMIZWA KWAKUKOSA MAALIFA

prophetislael
Автор

Mtajenga makanisa ya dhahabu lakini mioyo yenu inakutu amin nawaambia hakuna hata mmoja wenu atauona ufalme wa mbinguni

kingmburusijr
Автор

Mi nazidi kufurahia move hizi. Shetani amesimika mizizi

theresiakaruhanga
Автор

Dhambi ya usaliti kutoka katika kanisa katoliki itawagharimu

benjaminkapelah
Автор

Huyu Askofu hakuwa loyal kwa kanisa Lake kabisa.yaan licha ya kumvua bqdo anabadilisha na vibao vya kanisa

shambogokitundu
Автор

Unafiki wa Waafrika matokeo yake ndiyo haya

mdnsakuzi
Автор

Mwaikali Mwaikali Mwaikali umelipeleka wap KKKT we baba nn mbona shetan anataka kutugawa ndan ya KKKT?

tumainimwakyaka
Автор

Wapagani wajifunze nini? Mwogopeni Mungu.

marymfugwa