BREAKING: RAIS MSTAAFU WA KENYA DANIEL ARAP MOI AFARIKI DUNIA..

preview_player
Показать описание
BREAKING: RAIS MSTAAFU WA KENYA DANIEL ARAP MOI AFARIKI DUNIA..

Rais Mstaafu wa Kenya Daniel Arap Moi afariki dunia akiwa na miaka 95, rais Uhuru Kenyatta athibitisha.

"Kwa masikitiko makubwa natangaza kifo cha kiongozi mkubwa Afrika, Daniel Toroitich arap Moi, rais wa pili wa Kenya. Raisi mstaafu amefariki katika Hospitali ya Nairobi mapema asubuhi ya leo Februari 4 akiwa na familia yake.

UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982)
( +255 676 229628)
HABARI MPYA DAILY:

HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:

GLOBAL RADIO TV:

EXCLUSIVE INTERVIEW:

Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania #

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Poleni sana wakenya kwa kumpoteza aliyekua mtikufu Rais Daniel Arap Moi rais wa pili wa taifa tukufu la Kenya Mungu ampe pumziko la milele ameen

michaelmeela
Автор

R.I.P ...polen wakenya tuko pamoja kwan sote ni ndg

petermende
Автор

MIMI NDIO NINA MACHUNGU MENGI MNO KWASABABU HUU MZEE MOI, NYERERE, Mwinyi na MUSEVENI NDIO WALIO SABABISHA VITA VYAKIMBALI INCHINI RWANDA 🇷🇼

DAMUSAFI