Okello Max - Nakufa (Lyrics) ft.Bensoul & Amlyoto

preview_player
Показать описание
💽 Welcome to EA Melody - Your home for east african music with Lyrics

Hi there, hope you all are doing great, please help us to reach 100k subscribers. Subscribe to EAMelody here:

🎴 There is no copyright infringement intended for the song or picture. If you have an issue with me posting this song or picture please contact me through one of my social networks or YouTube private messaging system. Once I have received your message and determined you are the proper owner of this content I will have it removed, no drama at all. This channel is strictly for promotion towards the artists of the music. I try to help promote their music and their social networks.

🎵 Okello Max - Nakufa ft.Bensoul & Amlyoto (Lyrics/Lyrics Video)

▶️ EA Melody

🎤 Lyrics: Okello Max - Nakufa ft.Bensoul & Amlyoto

Sheri kimula mimi nakufa
Ani nya jamoko mami itoyo fuondana
Ahero sana pilirundo ga wiya
Nyathi jomoko adieri ilalo ga pacha

To dong adengo ti kaayudo konyruok na
Ani weauru monda asunge jabatha
Opong' to muol atoti unanimalisa
Niisi na wewe milele mpaka kufa

Unisalie watoto mama
Nakuahidi hutokosa
Ayie idho gode monda aketie kuon e mesa
Aseko yie koro ateri moso anyuola
Mama naaa (Yeah)
Muziki santima, muziki bila jasho

Sheri, mama, baby
Nakufa nakufa nakufa
Nakufa nakufa nakufa

Sheri, mama, baby
Nakufa nakufa nakufa
Nakufa nakufa nakufa

Mama sheri
Usiniache nitakufa eeh (Utaniua)
Kila unaponipigia simu lazima nitakuja eeh
Ukisema nikuje jioni nitanunua chupa mama
Lolo tupendane mpaka kufa eeh

Oooh Sheri mapenzi ya leo naogopa
Kwanza warembo wa ngolopa
Wameweka mitego kwenye mabar
Ila ukinitege sitakataa

Nitakopa ee, nitalima ee mama
Nitachanga nitaiba
Oh oh oh oh tupendane mpaka kufa eeh
Muziki ya pesa, muziki bila presha

Sheri, mama, baby
Nakufa nakufa nakufa
Nakufa nakufa nakufa

Sheri, mama, baby
Nakufa nakufa nakufa
Nakufa nakufa nakufa

Baby babe nishaachana na maformu za
Ashura babe
Hata Nafula namba yake nimefuta
Naku assure eeh
Usiku silali naona sura yako mrembo

Daily natamani kwako ningekuwa visible
Nateswa na rada kila nikikuona na huyo jamaa
Kweli mama wanifaa waniua (Murda! Murda!)

How do I live without you beiby?
Nenye khube wanje
Nipeleke Eregi kwa mama
Nimweleze na baba

Girl I need you in my life
Naona wivu when I see you holding hands
Kama mwezi usiku
Baby you know you're the one

Sheri (Baby you're the one)
Mama (Without you I can die)
Baby (Baby yeah)
Nakufa nakufa nakufa
Nakufa nakufa nakufa

Sheri (Baby nakuhitaji yeah)
Mama (Without you siwezi yeah)
Baby (I will die yeah)
Nakufa nakufa nakufa (Baby yeeeh yeeeh)
Nakufa nakufa nakufa (Kufa nakufaa)

End

Tags:
#OkelloMax #Nakufa #Lyrics #Bensoul #Amlyoto @EAMelody

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Yess’s this is real music 🎶 hits different wololo 🇺🇸🇺🇸🇺🇸

joan
Автор

Nakwambia hii song, 🔥🔥l can't gt tired of listining to this song, wow!!Nakufa

maureenokello
Автор

Nice one continue with the lyrics, 👏👏🔥💯

stellamumo
Автор

Please put a video and the song is good

joanotieno
Автор

Yawa yawa yawa this chorus....Atoti unanimalisa yawa

antifonamiles
Автор

Can't get enough of listening to this song for sure

proffkiteriefred