filmov
tv
Kisa Mavazi Wema Sepetu Na Faiza Ally Watupiana Madongo Mtandaoni
Показать описание
Siku Ya jana Wema Sepetu Kupitia ukurasa wake wa Instagram alipost picha mbali mbali akiwa amevaa vazi moja zuri lenye asili ya kinigeria
Picha ambazo watu mbali mbali walizipost akiwemo dada ake Diamond Platnumz Esma Platnumz pamoja na mama Yake Diamond pia
Sasa Wema Sepetu hakutokea kwenye event ya aunty Ezekiel ya kuzindua movie yake mpya inayojulikana kama mama ambayo iliyozinduliwa Mlimani City Jijini Dar es salaam
Offcourse Wema sepetu akaamua kurusha jiwe gizani kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa walionda kwenye uzinduzi wa movie hiyo na mavazi walivoyavaa akionekana kumlenga mwandada faiza ally
Aliandika kwamba
Sasa Mwanadada faiza naye akaona sio kesi kupitia ukurasa wake wa Instagram akaandika kwamba
Akionekana kumjibu mwanadada wema sepetu
Sasa kama kawa nikdrop kwenye comment kwenye ukurasa wa wema sepetu ambaye ndio alikuwa wa kwanza kurusha jiwe giza na kukuta raia kibao wamedondosha comment zao pale
Ofcourse hayo ndo yaliyojiri katika page ya Tanzania sweetheart wema sepetu baada ya kuwapiga madongo walioenda kwenye movie ya aunty huku wamevaa mavazi ya disko
Sio mbaya ukaacha comment yako hapo chini kuwa mavazi yapi yalitakiwa kuvaliwa kwenye movie mpya ya Aunty inayojulikana kama mama

Комментарии