NDOA 1

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ma shaa Allah nice movie na yenye mafunzo ndani yake napenda sana movie kma hizi Allah azidi kukufungulia 🤲🏾🙏🏾🥰🥰

masikamohamed
Автор

alla awatangulie kwa kila kazi mnazo Fanya za kisilan nawapenda Sana kwa ajili ya alla ❤

AbuAbu-nk
Автор

Kaka si mutoe part 2 twataka muendelezo...filamu nzuri mashaAllah Allah Baarik fiykum

aliMakangara
Автор

Wallahi hii movie si mchezo very nice tunawapenda from uk 🇬🇧

mahramarswad
Автор

Tuletee ile ya kijini ussy MashaAllah napenda movie zako

MwariJumaRashid
Автор

MashaAllah movie nzuri yenye mafunzo mazuri sana Kaka angu kazi zako nzuri sana siku zote swaum njema

Aiisha
Автор

Masha Allah nice movie msitucheleshe bas jamani 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

mwanatumu
Автор

Mashaallah Mashaallah kazi nzuri yenye mafunzo mwanamke imarisha ndoa yako

Farthun
Автор

Nice film ❤, congratulations to all actor's 🎉, Ramadan Mubarak 🌹

AishaIssa-mp
Автор

Nkukubali sana uko vizuri kwa kweli chukua maua yako 🌹😘 congratulations

DamumuMkali
Автор

Mashallah ❤❤❤ kazi nzur sana toa part two

AsmaAsma-ogul
Автор

Mashaallah tabarakaallah yarmani❤movie yenye mafunzo na maadil ndani yke allah azidi kutuweza sote jamil islam na kuyafuata maamrisho yke ....hongera kaka kazi nzuri🎉❤

ZoyaAli-qytg
Автор

Move ni kama hizi, yani inamafunzo mazuri❤❤❤❤

elvinakalu
Автор

Mashaa Allah Tabaraka Allah tumepata ilmu bora Allahu barik

aishaobo
Автор

Ramadan kareem ussy mungu akutangulie maishani

SABURIMUTRA
Автор

Yn amefata ushauri wa beshte yake n mjinga...mume n umtunze vizuri

SwabrinaSwabs
Автор

Phina ivi wajua uzur wako uko chini kidgo mama hebu jitahidi bc achana na maneno ya swaliha utaachwa

mwanabibikangu
Автор

Hongeren sana jamani Mungu awaongoze ❤❤

evalyinesalama
Автор

Hatimeee part2 ntaupata nilikua nautafuta mdaa mrefuuu huuu😂😂

liylahahmed