Ukweli kuhusu usajili wa Fundi Haruna Niyonzima

preview_player
Показать описание
Usajili wa kiungo fundi Haruna Niyonzima ameendelea kuzua gumzo mitandaoni na ktk vyombo mbalimbali vya habari, kwani mchezaji huyo anahusishwa kuongeza mkataba na timu yake ya Yanga huku ikidaiwa Simba imemnyakua kwa million 100
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Niyonzima tunakutakia maisha mama huko Msimbazi, Yanga tutasonga kivingine. Haya ndio maisha ya wachezaji again "good animal always looking for good pasture, " Happy new life, welcome Jangwani, thanx 4ur contribution at Yanga.

jumamakuri
Автор

kitu kama hichi ila karibu sana nyinzima

alonlameck
Автор

haya aende two jamani kwani yeye nani mtu mwenyewe ameshaanza kuchoka

rahimajuma
Автор

we jamaa unasoma vibaya kajifunze Kusoma habari unaharibu sana Kipingu TV hujui kusoma

justinemgomi
Автор

iv utafanyaje mkataba kwa siri bila makubaliano ya klabu ya mchezaji

shadrackmnjelu
Автор

kalibu sana kwa vijana msimbazi ajibu yule kwa wazee

jaqpeter
Автор

ebwana we acha kutupigia kelele rudi darasan 😠😠😠

hemedypck
Автор

hakika ni mwendo wa kulipizana, go Ajibu, come niyonzimaaaa

faymakinumi
Автор

Hajui kusoma au habari zinawaumiza mbona tunamuelewa tu

omarymwigula
Автор

kwa mikono miwili tunamkalibisha kwa wekundu!!!

alexanderkamdala
Автор

niyonzima bado bado hajasain kokote hizo ni kiki tu huyo ni wa yanga miaka 10000

jimmyngonyani
Автор

niyonzima bado bado hajasain kokote hizo ni kiki tu huyo ni wa yanga miaka 10000

jimmyngonyani
join shbcf.ru