ZIJUE DALILI ZA HOMA YA INI, HUDUMA YA UPIMAJI MUHIMBILI NI BURE, DAKTARI AFUNGUKA HAYA

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mbona huwa hamwendi na vijijini !? Kilaau mkafanya pia na mikoani he hamuoni kama mnawakosea baadhi ya watanzania kwani wote wanahitaji huduma sawasawa na wengine?

rosemuhandoofficial
Автор

Mungu atunusuru 😓 ini duh Stara ya Allah 😓

khadidjasuleiman
Автор

Mungu atunusurii na aya jmn jmn jmn jmn jmn jmn

neemareuben
Автор

Mimi mume wangu anahilo tazizo na siwezi kumuacha nampenda na nitampenda milele

catherinemichael
Автор

Jamani mpaka nimelia nipo apo muimbili karibu unaisha mwaka ini yangu ilikuwa ina mafut nimepewa dawa yakaiisha nikashauriwa nipimwe dam, nikaambiwa haipo sawa nakunywa daw kila siku mpaka nachanganyikiwa jaman sijawahi kupewa dawa bure jamani natamani nikuone doctor sina uwezo sipatag mualiko huu naombeni muwe mnatusaidia

aishahussein
Автор

Kwanini vipimo vya Homa ya ini, visipimwe bure kama TB, na HIV

mwakapalamwakapala