SIKITU | ep 3 |

preview_player
Показать описание
Follow Me On Instagram

Tiktok:

Facebook:

#clamvevo #comedy
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ahsante Mungu, Kama umebarikiwa kuiona siku ya leo gonga like hapa, pia nakuombea kwa Mungu wewe uliyefanikiwa kutazama series yetu pendwa ya Sikitu, Mungu akufungulie milango ya kheri kila siku🙏🙏🙏

shubeyk
Автор

Tulio maliza DUNIA tukaja huku tujuane basi😅😅

AmosiMiriam
Автор

Alhamdulillah 🙏 kwa kumalizaa ramadhan qareem pia EIDD MUBARAK lSLAMU JAMIYA 🌹

fatumasephu-vd
Автор

Chumba cha mke wangu kikubwaaa na cha lakini chumba jana kina minyama na cha jotooo😅😅😅😅😅 hii kauli nimeikubali

activelifehacks
Автор

Ila huyu bibi chenga😂😂 heti unavyoona wew jana tunda lako lililiwa au halijaliwa😅😅😅😅

jumanneramadhani
Автор

Nmeanza na dunia ikafta mission impossible na saiv namalizia na sikitu nan mwengine kfnya kma mm

Abdul-azizSaid-etyd
Автор

Naomba like 😂 Ata Moja kwa kila mtu mmoja.

Clam hii ni kazi nzuri sana

S.king_
Автор

Huyu dogo clam kwa huu moto anaokuja nao, utashangaa siku moja tunamuona kwenye Netflix.
Ubunifu mkubwa sana na wa hali uajuu. Hongera sana bwana mdogo clam

MUSSAABDALLAH-gp
Автор

Mwanaum ukimtuma anaend kumsupport Mwanaum. Mwenzake... Hao ndo Sisi😂

ofbyzistboy
Автор

Kazi nzuli bwana clam hongera sana hakika unajitahidi kutupatia burudani lakini ongeza mda kaka

ThomasWilliam-kh
Автор

Wasanii bora ❤❤❤movie kali🎉🎉🎉clam vevo maua yko❤❤❤

Sultan_mctominay
Автор

Kutoka mara nasema ukweli mra clam vevo anatoa movie kali mbane yani hano nachimaha ihakili yane nguikara ilengi bhuya napenda inchi yangu na jivunia kuwa mkurya daima❤️❤️

chrisstationary-jv
Автор

Wale wadau wa Sikitu tujuane mana watu wa DUNIA NA MISSION IMPOSSIBLE wame tulia kwa sas😅😅

Paricky_Nexx
Автор

Walio maliza dunia sasa hivi wanawatch sikitu nipeni likes 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

stephennzaro
Автор

Jamanii hii move ni motoo🎉🎉🎉najiona kama naangalia kombolela 😅😅😅😅😅😂😂😂😂yanii daaaah hii move ni fire 🔥 ♥️ 👌🏾 🎶 ❤️

NoelaMwibuka-uztg
Автор

Let's get this masterpiece series to 1 million + views please ...Clam Chris ana bidii sana!.❤🎉. . .

WarrenTheMidwife
Автор

😂😂😂😂😂😂 anko zala aaah nishamjua nishamjua dah 🎉

SHALKIM-zkdf
Автор

Huyu Chandimu kawa kama kachumbali kwenye hii kazi Nakuomba Clam huyu mtu apate Muda tuzidi kumwona hii ni kaliii💪💪🔥💯🔥

Kichwa_cha_dagaa
Автор

Shidaaa y’a sisi grace tunapendaaaa kweliii’ tatu kipiniiii kaziiii 😂😂😂😂😂😂 anko zalaaaa mshenziiii sanaaa

GraceThomas-mgls
Автор

Napanda sana movie zauswahilini nainjoy sana vulugu vulugu vitu vyangu ivi jamani

AlfaSimbaya-fnb