QASIDA NAMBA 1 YA KUMSWALIA MTUME - MASHALLAH TAZAMA NA SIKILIZA LADHA KWENYE VIDEO HII UTAIPENDA TU

preview_player
Показать описание
Dont Forget To Subscribe This Channel .........

Video Shoot By Extra Pictures Under Zanzibar Qaswida

Zanzibar Qaswida Booking Info :

WhatsApp/Call : +255626966000

Catch Up With Zanzibar Qaswida (Owner)

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Allah akujalie ukhuti wangu kwa sauti nzuri Masha allah

AbdulMahede-neyv
Автор

Kazi nzuri Mashallah ila ingependeza zaidi kuweka jina la msomaji/mwimbaji wa Qaswida na Inshallah

msemokingdom
Автор

Innalilah waina ilayhii rajiuni. Allah s.w.t amtilie nuru kaburi lakee na amsamehee makosa yakee amin 😢

omarsalimali
Автор

Mashllh UKHTY TUMU uko vzur Allah akufnyie wepesi🤲

mizasharif-tvcl
Автор

Ma sha Allah qaswida nzuri. Mungu awajazi kheri

abdulsheriff
Автор

Massalloh anak2 narinya indah banget sampe no ikutan Mari mudah2hàn jadi anak2 solehah amiiin sy indonesiya

sahilaazka
Автор

Mashaallah mwenyez mungu awalinde Inshaallah

OtavinaNgwando-gk
Автор

Mimi Ni msomali kutoka Mogadishu Nimeipenda Sana hii qaswida

hassani
Автор

Mashallah mabint na mabanati wa kinzanzbar mmebarikiwa urembo mashallah
Kwa hakika mnapendeza sana
Like zenu hapa mabint

mussajangwa
Автор

Ina lillah waina illah rajiun mungu akupunguzie adhabu za kaburi akupe kauli dhabiti wewe umetangulia na sisi tutafuata kila nafsi itaonja umauti pole sana kwa familia yako kwa kukutwa na msiba wa bint yao. Ni gumu sana kulipokea

ZeblantanOffer
Автор

Mashallah qaswida nzur san nimeipend na hao watyotyo wap vyem san❤❤❤❤❤❤❤❤ mung akulind vyem katyik safar yang

HalimaJuma-vdxc
Автор

Mungu akujaliye sana na sisi pia tuwe kwenye msimamo uwouwo

MamyAthuman
Автор

Almadrasatul maamur wakiwakilishwa na maukhty pande flani amaizing, , hongeren mabigwa wa kijiji 😘

yasirmtumwa
Автор

Allah amfanyie wepesi mtume wetu Muhammad s.a.w na ummat wake wote amiina.

barazamasare
Автор

Inna lilah waina ilaihi rajioun😭Mbele yako nyuma yetu Allah akujaalie kheri kwenye safar yako na sisi atupe Khatma njema Amiin Amiin Amiin 😢🙏🏽

nahlaabdulhalim
Автор

Ya Allah yg maha petunjuk, Satukan kami Akhidah kami Marwah kami Islam kami yg warna warni yg kau kehendaki.jauhi kelemahan kami, yg engkau maha petunjuk.amin ya robbal Al-Amin.

manansamosir
Автор

Mashallah ukhty tumu mungu akuzidishie kipaji kaswida nzuri sana

shaminakwekwe
Автор

Mashallah watt w kadiria allah awabarik nyote

WardaHamad-xi
Автор

Firdaus Masha Allah Allah awahifadhi Qasida nzuri sana..hongereni na walimu wenu.

firdausali
Автор

Innalillahi wainnailehi rajiun poleni Sana tunamwombea mola akusamehe madhambi zako

MwinyiheriSakwa
welcome to shbcf.ru