filmov
tv
DAKIKA 90: Kilichowapa Simba ushindi dhidi ya Yanga Aprili 16, 2023 (UCHAMBUZI)
Показать описание
KARIAKOO DERBY: Mnyama Simba, amemrarua Yanga mabao 2-0 kwenye #KariakooDerby iliyochezwa Aprili 16, 2023 kwa magoli ya Henock Inonga na Kibu denis. Je, nini siri ya ushindi huo kiufundi?
Kipindi hiki kinatoa uchambuzi wa kina kupitia kwa wachambuzi Geofrey Mwamnyanyi, Salama Ngale na Leonard.
#Dakika90 ni kila Jumatatu saa 3:30 usiku #AzamSports1HD
Kipindi hiki kinatoa uchambuzi wa kina kupitia kwa wachambuzi Geofrey Mwamnyanyi, Salama Ngale na Leonard.
#Dakika90 ni kila Jumatatu saa 3:30 usiku #AzamSports1HD