BREAKING: LIJUALIKALI AVUJISHA SIRI ZA CHADEMA, AMVAA MBOWE, LISSU, BULAYA | MADAI YA MAMILIONI

preview_player
Показать описание
#millardayoUPDATES
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

CCM hatuwezi kumwacha huyu ni Assert sio Rebiallity tumelamba Dume Big Up Sun light

yassiniferuzi
Автор

Masanduku ya kura yaanze kusambazwa mapema Magufuli tumpe kura zake hatuhitaji kampeni😂😂

selemanimkonga
Автор

Viva chama changu chenye usawa na haki CCM...nitafia kwako...kama ww ni mwenzangu wa CCM weka like hapa.

isayalaizer
Автор

Umefanya uamuzi mzuri sana bwana Mdogo ! Hongera sana....!!!

eugenmgaya
Автор

Freedom Mboya, Zittu Kubwa na Tudu Lisi . they don't understand themselves. They kupotosharing umma.

drnyakiema
Автор

"Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI

temkezatv
Автор

Kwa hali hii naiona ile hatima ya Lisu kupigwa kujulikana hadhalani, hadi kufikia october mmmh😝

lamecktheonest
Автор

Sema baba ata usiwaze wanaotoa negative comments siku hizi ata watoto wa form one wanamiliki simu na wao wasiojielewa ndo wanatoa negative comments ata uswaze

lufthansamichael
Автор

2liyajua yteee ayo pole juakali Rudi nyumbani kumenoga poleni xanaaa ichoo chama cha umimi why fisadi mbowe hataki kuachia kiti

jamesspiker
Автор

CHADEMA mmemwaga mboga Lijualikali kamwaga Ugali kazi kwenu

yassiniferuzi
Автор

Kumbe mbowe, lisu, msigwa, bulaya, mdee, heche, mnyika, na lema wapo kwenye SCCOS kimasilahi binafsi.

masoudali
Автор

kwa huku kwetu Ifakara huyo dogo anakubalika sana, hata aje agombee kwa chama cha Malawi Congress party MCP, atashinda tu

nsajigwamwakalonge
Автор

Chadema wanatakiwa kubadili katiba yao kwamba mbuge akifukuzwa au akihama akitoa Siri ya chama ashitakiwe màana wanaumbuana Sasa haya yetu masikio.

joycentongani
Автор

Umepotea njia kijana utajuta kuwa mpole dawa iingie! Sasa umesema chama kimemkopesha akanunua trekta 2 matokeo yake kwa nn trekta zisiwe mali yake? Bichwa kubwa akili hoho😂😂😂 tuambie na walio mpiga risasi Lisu ili utusaidie upelelezi✌️✌️✌️✌️

davidmshana
Автор

Magufuli Mungu akupe afya njema na maisha marefu maana nchi imekua na adabu Magufuli

kelvinkawea
Автор

Safi sana, Unawafokoa Chadema, chama cha wahuni.

samsonhaule
Автор

Asante YESU, uozo wa chadema tunaujua sasa! Mbowe dikteta, apelekwe jela!! Lisu tapeli sana!
Tunataka Tanzania imara!

linkreuben
Автор

Umenirudisha shule, "For every action, there's an equal and opposite reaction"_, Wenye uwezo wa kuelewa wamekuelewa!.

mashakalonka
Автор

Wamemwaga Ugali Lijualika ukamwaga mboga ukatoboa sufuria ukainyea na ukamwagia jiko maji

doctorgames
Автор

Wasamehe bure Lijuakali Mungu akutie nguvu kiongozi (God intervention God intervention )

gloriamichael