MISSION IMPOSSIBLE [35] SEASON 2 MOVIE REVIEW

preview_player
Показать описание
Mission impossible season 2 episode 35,

NOTE! This is not an original video or episode, it is just analysis and review of some episodes in our series.
This video doesn't aim at distorting you or deceiving anybody to believe that this is original episode, So our aim is to analyse on some parts of the previous episode and give predictions on what is going to happen on the next episodes. We Consider YouTube community rules. IN CASE YOU WANT TO SEE ORIGINAL VIDEO, VISIT MENTIONED CHANNEL BELOW.
Related searches for this video;
mission impossible season 2 episode 35, dunia ep 39, dunia ep 40, donta tv penzi La Mtoto Wa boss na dada wa kazi part 55,

#bongomovie #dontatv #asmafilms #dunia #kipesile #missionimpossible.

Copyright Use Disclaimer This video is for Entertainment purposes only. Copyright Disclaimer Under Section 107 of the Copyright Act 1976, allowance is made for "fair use" for purposes such as criticism, comment, news reporting, scholarship, and research. Fair use is a use permitted by copyright statute that might otherwise be infringing. Non-profit, educational or personal use tips the balance in favor of fair use.

Note - We Make Videos To Influence People To Watch original Movies Which Are Truly Hidden Gems To Entertain People. This Video Is All About Explaining The Movie From Our Own Point Of View. For The Explanation, We Have Used Most Of The Video Clips From The Movie For Better Understanding. For Video Clips All Credits Go To The Movie Owners.

DISCLAIMER: Any footage in this video has only been used to communicate a message (understandable) to the audience. According to my knowledge, it's fair use under the reviews and commentary section. We don't plan to violate anyone's rights.
Our video is not aiming at distorting the original video.
Watch full video on : CHADO MASTA FILMS
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nataka asamehe kidamu jau, ni Andrew kutoka Kenya

NaomiWasike-zz
Автор

Mktaka movie iharbike bac n chado amusamee najuma ju hat ktengo alfanya vyake vyote ila akamukweka JoJo. Ila mktaka movie iwe nzur bac chado niamtafute mrembo kupndukia ajitokeze Kwa episode ya 36 or 37 na ampende mbelen na awe mke mwema kwa chado ili azbe pengo la kdem jau. Huku najuma aachwe na maumiv ili yy ajifunze na hat wa2 wajifunze pia vp maoni yang hapo 🎉🎉🎉❤❤❤ 2kutane kwa likes.

RAJUBAIBAHUBARI
Автор

Mwanamme kumfumania mwanamke ni vigumu kumsamehe but wanawake hata akimfumania mwanamme ni mwepesi kusamehe

kaiaisha
Автор

Chado msamehe najma hizo ni hasira pia hii imenifundisha usiamini maneno au kuchukua maamuzi ya haraka angalau ulifanyie uchunguzi kwanza

HeavenlightJastin-rnxq
Автор

Hapo najma ameisha liwa kwahiyo itabidi aendelee na yule mzanzibar chado awe ana demu mwingine

YusuphIddy-hd
Автор

Nyie kabla amjasema yote angalin icho kinagma ata ubong wake Bado mchang s

MariamHatibu-ez
Автор

Maskini ya Mungu wana musaliti paka Ngwegwe jameni😂😅

etiennekilila
Автор

Hii munajuwa nyny mulivoiekti lkn chado akimsamehe najma duh!! Atakuwa kazinguwa sana mana najma alikurupuka kulipiza kisasi ambacho hana uhakika nacho

MuzdaMukhtar
Автор

Nakama hato msamehe mov itafundisha kuwa wanaume haemuezi kusamehe wakezenu mukikoseyana na itafundisha chado ni mtu mwenye imani na subra kumsamehe najma

hidayahidaya-vdze
Автор

Daah yale maji kama naoga mm vile daah

NADHIPHAKUTENGWA
Автор

Chado ssi mashabiki wako tunaomba umsamee najma tunaumia pka ssi mashabiki

FatumaJuma-sj
Автор

Hakun kuxamee m2 afanye maamuz magum akimxamee bac mov iixhe2 maan hakun ten xin nyingine ya kuxiximua

MujibTrent
Автор

Kitengo usmsamee huyoo aloo sjui Kwa kitengo

JoshuaLetona-ti
Автор

Mimi kama Mimi siwezi kumrudia ata ciku moja

NewMaumba
Автор

Nikweli chado akimrudia najma move itakua mbaya nanaahidi ntaacha kuifuatilia inabidi atafute demu mwingine

YusuphIddy-hd
Автор

Kitengo msameh najma mbona movie itaendelea kuwa shwari afu pia najma hakupenda Kwa alichokifanya bas tu was was zake alikuwa anajua kwamba unamahusiano na Jojo lakin alichokifanya najma mi mwenyew shawah Fanya akin sikumchit ba mtu... Akin Kwa alichokifanya najma Kwa kweli kavuka mipaka ila chado msameh najma 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

ChristinaMtweve-sx
Автор

Amsamehe kwani itafuza kuwa kusameheyana iko na kukoseyana iko ila itakuwa tumesoma kwa najma kuwa wanawake tuwe na subra na wanaume muwe munasamehe

hidayahidaya-vdze
Автор

Achana nae tafuta mwingine huyo ni msalit

DullaManase
Автор

bora chado amchukuwe swarms tu hicho kidem jau hakina maana

YussufMalik-xj
Автор

Hamuna kitu km icho usimsamehe kwa sababu mchoz utakuwa mbaya

AbdulyhafidhSahibhamad