Country Wizzy - Baby (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Country Wizzy - Baby (Official Music Video)

Producer: Ammy Wave From Tanzania
Director: Elvis From Tanzania

Follow Country Wizzy

Listen to Country Wizzy

The Official Youtube Channel Of Country Wizzy. Subscribe For The Latest Music Videos, Performances, And More.

Contact: +255 787378575 /+255764888767

Lyrics:
Intro
Vacay its Okay,Tell me baby
Tukale bata S.A Au Zenji baby
Mi nawee,Everywhere Au kwenye boat meib
(Verse One)
Believe Me It Feels so Good Yeah,Yeah
Ukiwa Around me
Ma’ It Really Feels So Good Yeah,Yeah
Yo Body Around Me
So Siwezi Kwenda Far Away (Far)
Kuwa mbali na wee
I Need yo Love N’ (mmh! Mmh!) Yeah
So Siwez kwenda far Away (Far)
Kuwa mbali na wee (naaa naaaanaa)
Baby give that love N’ (nikupeleke mbali)

Chorus
Vacay its Okay,Tell me baby
Tukale bata S.A Au Zenji baby
Mi nawee,Everywhere Au kwenye boat meib
All Day All Night Mi nawee Baby.

Vacay its Okay,Tell me baby
Tukale bata S.A Au Zenji baby
Mi nawee,Everywhere Au kwenye boat meib
All Day All Night Mi nawee Baby.

Verse Two
Burudani yangu Ni kuona
Ukismile all the time
Ukipooza Nami nakua down
Ila ukitabasabu nakua fine
Napenda kutazama lips zako unapoongea
Macho ukiniangalia (Ooh mama mamaa)
Deep in yo love Nazamia (Nazamiaaa)

So Siwezi Kwenda Far Away (Far)
Kuwa mbali na wee
I Need yo Love N’ (mmh! Mmh!) Yeah
So Siwez kwenda far Away (Far)
Kuwa mbali na wee (naaa naaaanaa)
Baby give that love N’ (nikupeleke mbali)

Chorus
Vacay its Okay,Tell me baby
Tukale bata S.A Au Zenji baby
Mi nawee,Everywhere Au kwenye boat meib
All Day All Night Mi nawee Baby.

Vacay its Okay,Tell me baby
Tukale bata S.A Au Zenji baby
Mi nawee,Everywhere Au kwenye boat meib
All Day All Night Mi nawee Baby.

Far Away (Far)
Kuwa mbali na wee
(naaa naaaanaa)
Baby give that love (yeeeeah)

Vacay its Okay,Tell me baby
Tukale bata S.A Au Zenji baby
Mi nawee,Everywhere Au kwenye boat meib
All Day All Night Mi nawee Baby.

Mix By Killer

#CountryWizzy #Baby
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Walah Country hapa Kamaliza Kila kitu ... Nipeni Like Bac

losserianchristopher
Автор

Hii ngoma ni kaliiii ila sijui wabongo tunapendaga ngoma gan

stanleydennis
Автор

Mwaka huu lazima uingie AFRIMA &SOUNDCITY

sosy_idibia
Автор

Yes countiry wizzy umeweza Yan ngoma inavutia kusikiliza malambili mbili naomba like bas 🤲🤲🤲 nawaomba wakubwa zamgu

bensongaston
Автор

Aliyerudia hii ngoma mara mbili gonga like🔥

hydratz
Автор

Hi ndiyo nyimbo kali zaidi katika maisha yake yote alio wahi kuimba na akiendelea kuimba 2023/11/26 nipo apa kabla ya mwaka kuisha

jeremiahevodius
Автор

Wangapi tulikuwa tulimiss ngoma za huyu rapper bora

saidiscaba
Автор

Tangu nianze kusikiliza kazi za huyu jamaaa hii ndo ngoma nimeipenda zingine zote utopolo kwa hili nimekupongeza kabisa

officialmrtop
Автор

Ngoja nii download hii ngoma sasa hivi niwe na audio yake NANI mwengine anakwenda kudownload Hili goma kama mimi Tujuane hapa Gonga likes za nguvu

abdulyabubakar
Автор

Mamae hakuna msaniii mnyamwezi kama country bongo nzima

herbertygeofrey
Автор

The song is hot country umeua, the video ndo kabisaa namuona Elvis mbali director kenny ajipange na idea zake za kujaza watu nyuma na marangi mengi .

emmanuelmisaac
Автор

Unyama mwingi sanaaa mzee trap kidude kinaibwa taratibu

litojames
Автор

Mimi ndo mkaguzi mkuu wa nyimbo kali Tz.... Nasema hivi HII NI YENYEWE KBS 🤞

kinjeathuman
Автор

Classic sound asee Dah haya magoma ya hivi nayapendaga sana 💥💥💥💥💥💥

dalaliamanidar
Автор

Ngoma kali sana country boy country wizzy, naiskiliza 100 times siichoki umeua mbaya mbovu yan....salute kwako

anwaryabed
Автор

Jmn like zina mahana gni
BC naombeni munipe kwa
Count Zee lao

saidiphily
Автор

Daaah kwa hii ngoma utawahi kujuta kuchagua msanii mwengine dhidi ya country wizz wanyamwezi imetutuliza akili

mgoiink
Автор

Venye unavo chezaga na camera ndo inaonyesha wew kweli next level Respect kwa #countrywizzy

jayvannykhalifa
Автор

Ngoma Kali kinoma sana
Bac naombeni like japo kidogo

ibrahimabobakar
Автор

Hii ngoma ni kali aiseh sichoki kuilisten, , , kaz nzr country wizzy👊👊

ibrahimubalongo