JACKSON WAKIZAZI KIPYA - BAACHANA

preview_player
Показать описание
Connect with Jackson

#Jacksonwakizazikipya #Jacksoncomedy #wakizazikipya
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kwanza mm nimeshawahi kumwona mama mtu mzima pamoja na pasta yaani hao ndo wenye mahovu hapa Duniani 🤔🤔🤔🤔By jackasongo from Vunja Mbavu

jackasongosonzo
Автор

Hii nyiimbo ni tamu jamani acha ni shehe kwa wengine wasik
Ie utamu wake team from Sweden 👌💪🥰💥💥💥💥💥💥💖💖

esthersumaili
Автор

Unajuwa sana #KING OF BABEMBE tuko zetu misisi

jeanbyelongo
Автор

Kicheko kweli wanadanganyaga wanaenda kuchuuza kumbe eehhh umalaya tu makini wanaume😭😭😭😭😭by jackasongo from Vunja Mbavu Family

jackasongosonzo
Автор

Wow ninzuri sana amakweli munajuwa sana

adelaungwa
Автор

c'est formidable vraiment
ni sana

jeanamosi
Автор

Huyo dogo yupo vzr xana. Kweny korasi mpaka vocal . Alafu ana Mélodie Safi xana

alberthtempo
Автор

Yani kwa wimbo huu mmenigusa hongereni kaka zetu

aminafideli
Автор

Jackson ungana na uyo kaka anasauti nzuri

Zubeda
Автор

Kumbe wanaijeria wametokea kwa wabondo daah, Dunia duara

peterkichochi
Автор

Wimbo umetufikia sasa 😂😂😂 support kwa kaka yetu

esperancenathali
Автор

Naendelea manzuri Sana kabisa
Niko pamoja nawewe Bega Kwa Bega wako Pierre mtoka

pierreangyabongo
Автор

Nakuambinia sana kwa kazi yako cool sana

caslasbyaigletokooss
Автор

Namuona kiongozi wangu PASUA😅🤣😅 Nawamiss Wana K3 jamani ✌️🙏🙏

Son_TV_Online
Автор

King of the king nakukubal sana bruh ✊🏿✊🏿

mr_convex
Автор

Hiyi nikali sana Kaka Jackson wakizazi kipya je te souhaite l'endurance

davidalengaingenieur
Автор

Wisha pita wakizazi kipya very good i love this song👍👍👍

piscasassa
Автор

Nicheke 🤣🤣🤣🤣 kwanza jamani hiinyimbo nimei💛💚💛💚💛💚

emeranceekondo
Автор

Jamaal huyo ana sahuti kali sana Jackson, ulimtowa wapi huyo mmmm.?

rogermsenwa
Автор

Lwembo lwangene manga....
Ni moto ongera sana kwa ushauri wanasikia walengwa

ramadhankijana