Duuh!! ndoa ya Shilole na Uchebe imefikia hapa?

preview_player
Показать описание
Leo March 13,2018 kupitia instagram account ya Uchebe amepost ua jeusi ambalo linatafsiriwa kuwa kuna doasari katika ndoa yake na Shilole hii ni kutokana na tettes kunenea kwenye mitandao ya kijamii kuwa ndoa hiyo ina dosari.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mh ndoa s mchezo jamani tumuogopen mungu, na ogopeni dunia na muwaogope wanawake

ayshahams
Автор

Ndoa ndoano Msituone tunavumiliana maji ukiyavulia nguo sharti uyaoge.... hata mwaka bado

TRAVELANDTASTETANZANIA
Автор

kunguru hafugiki uchebe leo yuko znz kesho yuko tz ndo hali halisi ya wadd wa bongo maana umevumilia yamekufika hapa 😂😂 pole sn Mr.uchebe

rahimajuma
Автор

Mungu atawactiri daa hiyo itakuwa hatari walo nje wataka waingie walo ndani wataka watoke tunusuru mungu wetu

mwanaishambili
Автор

hapa namnukuu madebe lidai anasemaga hivi
"Kuwa na mwanamke mzuri kitandan kunaweza kumfanya mwanaume yeyote akuoe lakin tabia ndio itakayomfanya mwanaume aishi nawe kwa mda gani?"
mwisho wa kunukuu

modestussanga
Автор

Uchebe hakupenda kutoka moyoni Bali alitamani asikike h
Kwenye vyombo vya habar na mitandaoni chamsingi shish atafute mcheza mpira waowane

larickmtui
Автор

Vitu vingine mnafanya kufuru iyo hela mliofanyia harusi bora mngesaidia wasiojiweza pole yenu mlichelew kufanya maamuzi ndoa za digital hizi haziachi mtu salama

itsmaya
Автор

Yoooh!! Jamaaani Mnapoteza mda wenu bure tu. Ni yule uchebe feki huyoooo!!

edmondjr
Автор

Jamani jamani hata gift Watu warizoziahidi hawajazatoa bado nyinyi mnapanga mikakati ya kuachana😂🤣🤣🤣 ndoa zingine tusiwe tunapotezeana mda wa kuarikana kwenye sherehe nakuchangiana nikupoteza mda😏😏

annaupendo
Автор

"Usiache mbachao kwa mshwara upitao"!

pigapesa
Автор

poleni xanaaaa xhilole na uchebe mi natoa Nawez kuwakopexh million 14.... malipo ni mtt mtakae jifungua

mulunguthegreatedavid
Автор

ndoa na kujipanga sio maigizo kwamba uta uvaa uhusika baada ya hapo unarud kawaida lkn watu nadhan hawajui hilo na kiapo mnacho apa mbele ya shehe au mchungaj na zaid mbele za mungu tujaribu kuheshim kile ambacho mioyo yetu na saut zetu mbele za umat tunazo apa vinginevyo tukifanya ndoa ni sehem ya promotion ya biashara zetu kwa maslah ya nje ya ndoa zitafungwa sana na tutaacha kushangaa mwanamke mmoja kufunga ndoa zaid ya mara 4 kwa mchungaj mmoja au shehe na sidhan kama itawwzekana maana naomba tuheshim umat tunao uwalika kwenye ndoa zetu na zaid tumheshim mungu huo uvumilivu tunao wapia watu bas uonyeshwe kwa vitendo na hiyo mitandao siyo suruhu ya ndoa zetu ko ni bora tukajaribu kutenganisha mitandao na maisha yetu ya ndan hum tupost biashara na nyimbo mnazotoa nadhan itafaa sana mnisamehe km ntawakwza kwa urefu wa mahusia yangu

erastomwakalinga
Автор

ugomvi ni kawaida ktk ndoa yatakwisha tyu mungu ailinde ndoa yao

zulekhamohammad
Автор

Hata wew uchebe ndio ukome kuolewa/kuoa wa/na wakubwa zako

prinsecdayana
Автор

Shishi umezidi ndoa ilivyokua adimu na maisha haya ungetulia tu na mumeo jamani mwanamke stara ubabe haufai

aminakshamoona
Автор

Hata gari la harmonize aliloagiza nje yanchi bado liko ndani yamaji kwa cargo halijafika Tz nyimmekosana tayari shilole hta uwe mkubwa vipi ila mwanaume atabaki kuwa kichwa cha nyumba

annymsupa
Автор

Mmemuaibisha babutale alivyo wapa nasaha msiweki ndoa yenu kwenye mitandao mtamvuwa nguo sokoni hamkuzingatia ushauri wake yani hata mimi mmenisikitisha sana Kwanini msende kwa tale awasikilize ajuwe tatizo lipowapi awashauri

asiahmariam
Автор

Watanzania munazidicha sana Dunia zima nyinyi tu labda inakuwaka vyachara

tshisekedizachee
Автор

awa ata mwaka hauishi nilisemaga mimi bado uwoya nae, vibenteni havitaki kufungiwa ndani siku hizi

aishaelias
Автор

Shilole ulikurupuka ..wewe sio married type..kisha ubababe wako sio.na mdomo wako sio..ukitaka kuishi kwa ndoa usijifanye jike Dume labda bwana awe choko.

mashramadhani