🔴 Kwa nini watu hawaridhiki kwenye Ndoa/Mahusiano,

preview_player
Показать описание
#ITVTanzania #MazungumzoYaFamilia #Mubashara
#Mazungumzo ya Familia:Mei 23, 2021.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wa Magomeni Dar es salaam, kiukweli kama Mimi napenda sana kutulia ndani na mke wangu lkn inanipashida mke wangu anavyoshindwa kunijua Mimi ninachopenda nikiwa nimetulia, unakuta unapenda mpige stori nzuri na mkeo Mara yeye kabadilika, unskuta unataka haki yako anakwambia subiri kidogo au kidogo mki do anadai kachoka na mnaweza mkaa mpaka wiki nzima hamfanyi tena Maana ukidai ni makelele, sasa kwa hali hiyo inafanya nifikilie kupata mke mwingne amsaidie lakini pia anipunguzie mawazo kwa tendo LA ndoa likifanyika ukaridhika hata mawazo yanapungua kichwani

rsshidmnkonje
Автор

Nawapata haopo mjengon bibie huyo anaongea sana ila Yuko sawa

erasmusedmund
Автор

Mwaipaya wanawake wana huruma sana, niko mbeya nawapata

jaminussanga
Автор

Uvumilivu ni jambo la msingi sana kwa wanandoa wote na hata wale ambao wako kwenye mahusiano, ingawa Changamoto huwa hazikosekani kwa sababu wanadamu wote si wakamilifu

emmanuelnzugwa