Kenya na Iran zasaini makubaliano katika maeneo matano kuimarisha ushirikiano

preview_player
Показать описание
Rais wa Kenya William Ruto na Rais wa Iran Ebrahim Raisi wameshuhudia kutia saini makubaliano katika maeneo matano ya ushirikiano kati nchi hizo mbili. Ungana na mwandishi wetu akikuletea kwa muhtasari maeneo hayo ya ushirikiano na hivyo yataleta tija baina na nchi hizo mbili.
#rais #kenya #iran #jamhuriyakiislam #williamruto #ebrahimraisi #ziara #voa #voaswahili #dunianileo

- - - -
#VOASwahili

Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Рекомендации по теме