NVIIRI THE STORYTELLER - KESI BAADAE (Official Music Video) SMS [ Skiza 8548958 ] to 811

preview_player
Показать описание
Nviiri the Storyteller performing #KesiBaadae

Written & performed by: Nviiri the Storyteller
Prod by: Wuod Omollo
Mix and master by: Mboks
Guitar: Tugi Mlamba
Dir by: @direktorkay
Lighting: Gregory Kiwo
Styling: Brian Babu

KESI BAADAE LYRICS

Wazazi wameshika nare, Eti penzi letu tuisare
Lakini beiby usijali, Hii Kesi tutajibu baadae

You see our love is so perfect
I can’t deny it
But your father wants me in a casket, I think he’s not playing
Does he know the way sneak at night when he goes to sleep
Drink and drive ohh we take the risk
Hatuigopi ata mapolisi
But I’ll never leave you alone
Best believe my baby
Siwezi kukuwacha pekee yako
Wazazi wameshika nare, eti penzi letu tuisare
Lakini beiby usijali, Hii Kesi tutajibu baadae
Wazazi wameshika nare, eti penzi letu tuisare
Lakini beiby usijali, Hii Kesi tutajibu baadae
Hii Kesi tutajibu baada ehh
Hii Kesi tutajibu baada ehh
Hii Kesi tutajibu baada ehh
Hii Kesi tutajibu baada ehh

Cheki dere wetu amebleki
Hatuwezi enda home
Na sisi wote tumeishiwa na senti
Ohhh
But your friends that are gone just let them be
We’ll stare at the stars and make a wish
Prove to the world that we meant to be... ehhh
We should be heading home
Beiby twende
But that is our song Kuja tucheze
Sijampata mpenzi kama wee
Wazazi wameshika nare, Eti penzi letu tuisare
Lakini beiby usijali, Hii Kesi tutajibu baadae
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

I told my neighbour lady who is a fan of Nviiri that i know him personally hakuamini. Buda kam kumshow chat zetu ndio nahitaji ndio nicheze kama mimi...hio KESI BAADAYE..💪💪💪

jacksonkimondo
Автор

Kama unakubali Nviiri ni mkali wa mistari na sauti, don't shy kugonga like kwa mapenzi. Kenya fireeee🔥

sethadamsanunda
Автор

Lakini nani atakuuliza ukilike hii comment, KESI BAADAE .. nipee ka like

japhethmusumba
Автор

Nviiri The Stroryteller ....is the Kenyan version of Khalid!!!! What a

rickyarun
Автор

Nishaanza kusaniff ikitoka ni kuzichoma mbaya. Kesi Baadae. 🚀🚀🚀

BenSoul
Автор

Hii ngoma inaeza fanya Ni kidnap Ngina Kenyatta KESI BAADAYE.

johnmwaura
Автор

NVIIRI si 2020 unataka tu kutuoverdose, sio na pombe sigara, either way KESI BAADAE

PoetStarknowTV
Автор

[]
Oh, Lord
Wazazi wameshika nare (Our parents are mad at us)
Eti penzi letu tuisare, eh (They think we should give up our love)
Lakini baby usijali (But baby don't worry)
Hii kesi tutajibu baadae (We'll worry about it later)

[]
You see our love is so perfect, I can't deny
But your father wants me in a casket
I think he's not playing
Does he know the way we sneak at night
When he goes to sleep?
Drink and drive, oh, we take the risk
Hatuogopi hata mapolisi, ay (We fear not even the police)
But I would never leave you alone, eh
Best believe my baby
Siwezi kukuwacha pekee yako (I would never leave you alone)

[]
Wazazi wameshika nare (Our parents are mad at us)
Eti penzi letu tuisare (They think we should give up our love)
Lakini baby usijali (But baby don't worry)
Hii kesi tutajibu baadae (We'll worry about it later)
Wazazi wameshika nare (Our parents are mad at us)
Eti penzi letu tuisare, ay (They think we should give up our love)
Lakini baby usijali (But baby don't worry)
Hii kesi tutajibu baadae (We'll worry about it later)

[]
Hii kesi tutajibu baadae (We'll worry about it later)
Kesi tutajibu baadae (We'll worry later)
Kesi tutajibu baadae (We'll worry later)
Kesi tutajibu baadae (We'll worry later)

[]
Oh-oh
Ay-yeah
Oh, Lord
Cheki dere wetu amebleki (See, our driver has blacked out)
Hatuwezi enda home (We can't go home)
Juu sisi wote tumeishiwa na senti, yeah ('Cause we're all out of money)
Oh-oh-oh
But your friends that have gone
Just let them be
We'll stare at the stars and make a wish
Prove to the world, we're meant to be
Yeah-yeah

[]
We should be heading home
Baby tuende (Baby let's go)
But that is our song
Kuja techeze, ay (Come, let's dance)
Sijampata mpenzi kama wewe (I've never had a lover like you)

[]
Wazazi wameshika nare (Our parents are mad at us)
Eti penzi letu tuisare (They think we should give up our love)
Lakini baby usijali (But baby don't worry)
Hii kesi tutajibu baadae (We'll worry about it later)
Wazazi wameshika nare (Our parents are mad at us)
Eti penzi letu tuisare (They think we should give up our love)
Lakini baby usijali (But baby don't worry)
Hii kesi tutajibu baadae (We'll worry about it later)

[]
Hii kesi tutajibu baadae (We'll worry about it later)
Kesi tutajibu baadae (We'll worry later)
Kesi tutajibu baadae (We'll worry later)
Kesi tutajibu baadae (We'll worry later)

Oh-oh
Ay-yeah
Oh, Lord
Jibu baadae (Worry later)
Jibu baadae (Worry later)
Jibu baadae (Worry later)
Jibu baadae (Worry later)

We should be heading home
Baby tuende (Baby let's go)
But that is our song
Kuja techeze, ay (Come, let's dance)
Sijampata mpenzi kama wewe (I've never had a lover like you)

zhouma
Автор

Don't forget to wash your hands regularly and wearing mask.. Hii kesi ya corona virus haiwezi ngoja badae 😫😥😭

QueenMayravideos
Автор

TOP 10 KENYAN ARTISTS
1. Nviiri the Storyteller
2. Nviiri Once Again
3. Nviiri Once Again
4. Nviiri Once Again
5. Nviiri Once Again
6.Tha Storyteller ey ey ey
7. Nviiri Pombe Sigara
8. Nviiri Overdose
9. Nviiri Salo wowowoooo
10. Nvirii Forever

bethywanja
Автор

True life story ‘cheki dere wetu amebleki hatuwezi enda home juu sisi wote tumeishiwa senti’ inabidi turave Hadi six tungoje mat.. ii mstari ni personal

Автор

Another great hit from the story teller, turn it blue if you agree 🔰🔰 Gonga like

wachiramundia
Автор

Imagine a collabo between Nviiri and Khalid 🥺🥺. Love you Nviiri ❤️❤️❤️. Love you from Poland 🇵🇱🇵🇱🇵🇱

tokyococo
Автор

I wish angekua kwetu Tanzania Kenyans support the guy he deserve more than10m views please

kihereherewizlah
Автор

Gava inatucheza na information ya corona juu #kesi baadae.. kazi safi nviiri

sallienjenga
Автор

if you too believe in nviiri just like this lets show we all love him

thisisdash
Автор

Your voice is very has been on repeat the past 3days ...kesi nitajibu baadaye...imenishika sahii 😋😋😋

brendahjons
Автор

Nviiri X Nyash X Bensoul

KESI BAADAYEEE

outniccur
Автор

NMekupenda kesi baadae juu ushanioverdose na niliacha pombe mavela nikupende forever...

margretnjeri
Автор

“..Sijampata mpenz kama wee..”hits different 🥹🙌🏾

tevinjohn