SANDRA [7]#clamvevo #kiparabrand #mwakatobe #sandraofficial

preview_player
Показать описание
#kiparabrand #mwakatobe #clamvevo #dontatv #dubutv #babajoan
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Sandra episode 20
Sandra episode 19
Sandra episode 18
Sandra episode 17
Sandra episode 16
Sandra episode 15
Sandra episode 14
Sandra episode 13
Sandra episode 12
Sandra episode 11
Sandra episode 10
Sandra episode 9
Sandra episode 8
Sandra episode 6
Sandra episode 5
Sandra episode 4
Sandra episode 3
Sandra episode 2
Sandra episode 1

sandrahofficial
Автор

Sandra kipenzi . Wanaompenda Sandra mikono juu😅

LicianMochoge
Автор

Movie nzuriii sana Sandra nakupenda fanya hata siku moja nikuone nitajiona mwenye bahati sana kukutana na wewe

JohanesJunnior-cpho
Автор

Uyu demu wa Abbi mbna kafanana na raisi wa first year ❤❤❤🎉🎉🎉😅😅

Gloriarespiki
Автор

Unachelewa xn my love ❤ sandraa utafanya upunguze viwez

AlmasHussein-dm
Автор

Sofi mashallah naiona hiyo nyasi mpaka unatuumiza watazamaji

abubacarassanetoziy
Автор

41, Sandra maua yako🎉🎉🎉🎉🎉nakukubali sana mama

DianaMkembelwa
Автор

Huyo Ndiyo Dada yetu kutoka Tanzania 🇹🇿 karibun kuangalia film zake🎉🎉🎉

AbdulKarim-nq
Автор

😂😂😂aka weee ngonde kimangulaaa n Uku upo 😂😂😂😂baba mtt wa sania 😅😅😅

mwajumsleman
Автор

Jaman Sandra mbon unatucheleweshea hii mov tunasuvili mpaka tunaumwa😂😂😂😂😂😂😂

MejasfidelKelvin
Автор

Mganga Ngonde, Ebu nenda ukae karibu na Mama kijacho wako Sania. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

SadaDjuma-eb
Автор

Kaz nzur xna!! Ongeza ubunifu na bidii upo vzur xna lingne tujua ugumu wa kuandaa kazi ila jitahdi kuwaisha mama❤ tuendelee kusaport vijana

IbrahimMkwama-mn
Автор

Wewe mganga mbona unaimba lugha yangu 😂 Tegeza akokaandazi mh! Kalalenze kudyoha mh! Kadyohela bhana mh! Na bhakuze bhose mh! 😂😂😂 umenikumbusha Kigoma ❤

DonMooFILMES_Express
Автор

Mganga ngonde mbona umetutoka kwenye house girle, kazi nzuri sandra

JulienBaguma-ys
Автор

Map Mapema sana leo Sandra kazi nzuro🎉🎉🎉

RafhaelMutha
Автор

Filamu yangu pendwa kwa hewa hongera sana sandra❤🎉

mohammedkidody
Автор

Nakupenda Sandra siwezi kuishi bila wewe 😂😂😂

WendeMposola
Автор

Bravo Bravo Bravo SANDRA.
Lkn unachelewesha sana Kazi.
Ebufanya haraka zingine eps
....

izerebrandon
Автор

Kweli kabisa Juma Jicho tunamhitaji zaidi kwenye hii tamthilia

maximiliankadawiibalaja
Автор

ila huyu dada ambaye ameenda kwa mganga na abi aisee ni mzuri sana huwa na mwelewa sana na hii sauti yake ya kukwaluza kidogo mimi hoi

andrewkilave