Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumanne 24/12/2024

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hii ni Hatari sana Waafrica kuwana Wenyewe kwa wenyewe.

radaonlinetv
Автор

Kuhusu DRC nimeshangaa sana wachambuzi wetu wamejadili kuhusu pande mbili wahusika Rwanda na DRC lakini hamjaongeya kuhusu in'chi zamagaribi ambazo ndizo chanzo chamzozo na machafuko huko kongo DRC

aabedi
Автор

Yawezekana wenye ulimwengu wanaichafua Rwanda

samwelkayanda
Автор

Father kitima yametimia kuwafundisha kuiba kura dhabi zote zitamwelekea aliye towa mafunzo ya kiiba kura.namyinyi viongozi wa musumbiji mumekipata mulicho kiomba. Tanzania hatujawahi pigana tulipa uhuru hata mbwa hajawahikufa. Watanzania pia hakuna shule hawakusoma.kusini mwa Akfrika tanzania oli

johnsinyinza
Автор

Sio maputo tu nchi nzima mandamano yamachafuko wizi ndoupo kipaumbele

mullamtupa
Автор

Ama hakika viongozi wa Msumbiji wamekoma kuja kuchukua mbinu za wizi wa kura kutoka Tanzania

filbertmsafiri
Автор

Hii vita ya kongo inamaana viongozi wa Africa hawajui ni nani anae sababisha hii vita ?
Au wanamuogopa mhusika

gefreymtalo
Автор

Viva wananchi Msumbiji.watawala wa kijinga.lszima watoweke, hao ni ccm kwa Tz.

ezekielezekiely